Duh! Pamoja na kwamba umeandika mambo mengi bado I doubt ikiwa kweli unaufahamu muziki!!! Yaani upande mmoja ni kama unakiri kwamba ni wimbo wa ujumbe halafu wakati huo huo ulitarajia uwe ni disco version!!!! Pata angalau layman definition ya what's music:Sasa unataka upande mmoja unatengeneza emotion na hapo hapo unataka watu waruke ruke!!!!!!
Hapo penye red tu imetosha kwingineko huko UMBEA, Hujaulizwa.Hamna kitu. Habari yake ilikufa na CCM. Vp magufuli hajamwalika ikulu akamkatikie ngololo?
Sasa kama unaisikiliza kwa TECNO P5 unadhani utasikia midundo murua ya hili dude?!isikilize ndani ya S6GALAXY Ndio tunafaidi
Since When team kiba mkamtakia mema Diamond?!!BTW kama hujaupenda ni wewe tu,mziki ni LADHA,na kila mtu ana LADHA yake anayoipendalabda kama hujui mziki au you are a dickrider rhythm ni mbovu mziki mzuri utaupenda tu hata ukiuskia kwenye radio mbao.
Mike T na je, #utanipenda??? Hizi za kucopy nazo
Hivi kumsifia mond ni sheedah? ?? Naona ww mpka ukaombe vibali serikali ya mitaa duuh
Anapostahili kusifiwa atasifiwa
Nyimbo bombaaaa sana heshima kwa Thomas. ....
"Nyie ndio wale matusi ya instagram na jamii forum "
tafuta wimbo wa mike t unaitwa je, utanipenda kisha urudi
MKuu mimi ni msikilizaji wa mziki mzuri, playlist yangu imejaa nyimbo za Diamond tangu "Nenda kamwambie" hadi Nana" though sio fan wa Mondy lakini haiondoi uhalisia kimziki jamaa yupo juu, Tukiweka pembeni uteam, kama unafatilia vizur mziki wa sasa umechange sana, hasa ktk midundo, wasanii wamechange sababu nyimbo za sasa hata kama ni ujumbe lakin hakuna namna ni lazima uiweke tu kwenye aina fulan ya kia afro pop, Mfano Aiyola, Nana, hata msanii wangu Alikiba kama umemfatilia utaona kuna mabadiliko fulan makubwa kayafanya tangu mwana had sasa nagharamia, kutokana na kasi ya mziki wa kisasa africa nzima inamlazimu msanii atoe wimbo uliyochangamka fulan au beat lenye amsha na viuafro pop kwa mbali, ndiomana christian bella anakomalia sebene fulan hivi za amsha amsha.
Hebu kumbuka ile Nana ya Diamond ule wimbo ndiyo hadhi sasa ya Diamond, lakini sio hii, huu ni wimbo wa kujazia Album tu lakin sio hit song, sema sababu game ndio mmelishika nyie, sitoshangaa nitakaposikia top 10 mmeyhika no1 na tuzo kibao umebeba hahaha very interesting.
Lastly usifananishe kabisa hii kaswida ya mondy na #Nagharamia , utakuwa unajitafutia aibu Bure
Mike T na je, #utanipenda??? Hizi za kucopy nazo