Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Daaaaah huyu jamaa sio mtu mzuri kabisaa..

Ndio faida za kupata baraka zote za Mama unakuwa mkali mpaka unaboa yani...
 
Duh! Pamoja na kwamba umeandika mambo mengi bado I doubt ikiwa kweli unaufahamu muziki!!! Yaani upande mmoja ni kama unakiri kwamba ni wimbo wa ujumbe halafu wakati huo huo ulitarajia uwe ni disco version!!!! Pata angalau layman definition ya what's music:Sasa unataka upande mmoja unatengeneza emotion na hapo hapo unataka watu waruke ruke!!!!!!

Mkuu hivi kabisaaaaaa unategemea team kiba damu amsifu diamond???

hahahahaha
 
Hamna kitu. Habari yake ilikufa na CCM. Vp magufuli hajamwalika ikulu akamkatikie ngololo?
 
Kwahiyo mkuu hii kaswida na #nagharamia ya Kiba ipi kali?

Tunawacheka kwa dharau Hehehehehehehe

Afu acha kutujazia server, hapa tunazungumzia wimbo wa Africa.. Kama huo wimbo wenu mzuri sana ufungulie uzi sio kuipa kiki humu ndani..

Ooooooh wale shabiki zangu walionisifu kwa maneno matamuuuuuuuu....

Aaaaaaah je utanipendagaaaa?
 
Huyu Thomas mbaaaaaaaaaaya sana, kanimaliza sana na tuvinanda hasa pale mwishoni ni nooooma saaaana

Tudy thooomas
tili tili tili tili tiliiii olalalilaoooooh
tili tili tili tili tilii ooooh baby
 
Sasa kama unaisikiliza kwa TECNO P5 unadhani utasikia midundo murua ya hili dude?!isikilize ndani ya S6GALAXY Ndio tunafaidi

labda kama hujui mziki au you are a dickrider rhythm ni mbovu mziki mzuri utaupenda tu hata ukiuskia kwenye radio mbao.
 
labda kama hujui mziki au you are a dickrider rhythm ni mbovu mziki mzuri utaupenda tu hata ukiuskia kwenye radio mbao.
Since When team kiba mkamtakia mema Diamond?!!BTW kama hujaupenda ni wewe tu,mziki ni LADHA,na kila mtu ana LADHA yake anayoipenda

Simu pia inanafasi yake,ukiisikiliza kwenye P5 Zenu hizo huwezi sikia drums za kwenye hii nyimbo na ukichanganya na Earphone za 1000 munazozitumiaga ndio kabisaaaaa,utasikia maluweluwe kila siku
 
Ila jamani kupenda ni upofu! Hivi kuna kitu gani katika wimbo huu pamoja na video yake kinachowafanya watu wausifu kuwa mkali?

Wimbo wa kawaida sana kwa level ya Diamond.
 
MKuu mimi ni msikilizaji wa mziki mzuri, playlist yangu imejaa nyimbo za Diamond tangu "Nenda kamwambie" hadi Nana" though sio fan wa Mondy lakini haiondoi uhalisia kimziki jamaa yupo juu, Tukiweka pembeni uteam, kama unafatilia vizur mziki wa sasa umechange sana, hasa ktk midundo, wasanii wamechange sababu nyimbo za sasa hata kama ni ujumbe lakin hakuna namna ni lazima uiweke tu kwenye aina fulan ya kia afro pop, Mfano Aiyola, Nana, hata msanii wangu Alikiba kama umemfatilia utaona kuna mabadiliko fulan makubwa kayafanya tangu mwana had sasa nagharamia, kutokana na kasi ya mziki wa kisasa africa nzima inamlazimu msanii atoe wimbo uliyochangamka fulan au beat lenye amsha na viuafro pop kwa mbali, ndiomana christian bella anakomalia sebene fulan hivi za amsha amsha.

Hebu kumbuka ile Nana ya Diamond ule wimbo ndiyo hadhi sasa ya Diamond, lakini sio hii, huu ni wimbo wa kujazia Album tu lakin sio hit song, sema sababu game ndio mmelishika nyie, sitoshangaa nitakaposikia top 10 mmeyhika no1 na tuzo kibao umebeba hahaha very interesting.

Lastly usifananishe kabisa hii kaswida ya mondy na #Nagharamia , utakuwa unajitafutia aibu Bure

Duuih ww jamaa c ulisema nana ni mbaya haaah anyway kuna dude lingine tuna li drop c unapenda za kuchangamka na kucheza getto na demu wko be ready pwilo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom