Mike T na je, #utanipenda??? Hizi za kucopy nazo
Ungekuwa unasikiliza nyimbo za duniani usingeshangaa kasikilize hizi nyimbo
iyaz solo na jason darulo
Ila jamani kupenda ni upofu! Hivi kuna kitu gani katika wimbo huu pamoja na video yake kinachowafanya watu wausifu kuwa mkali?
Wimbo wa kawaida sana kwa level ya Diamond.
"Nini maana ya rhythm na application yake kwenye huu wimbo?" Tuanzie hapo kwanza!labda kama hujui mziki au you are a dickrider rhythm ni mbovu mziki mzuri utaupenda tu hata ukiuskia kwenye radio mbao.
Kakopi title au kakopi content? Kama unazungumzia title; basi kajipange upya manake duniani hakuna hatimiliki ya title!Mike T na je, #utanipenda??? Hizi za kucopy nazo
Wanatia huruma sana hawa jamaa!Halafu kama wangekuwa wanajifanyia tathimini ingekuwa wameshaacha manake tangu waanze kupiga ramli na kuponda; ndo kwanza jamaa anazidi ku-shine!Mkuu hivi kabisaaaaaa unategemea team kiba damu amsifu diamond???
hahahahaha
Halafu iki ndo nlitaka kuwauliza hawa wanashupalia mike t mike t...bora umeniwahi mkuu!Kakopi title au kakopi content? Kama unazungumzia title; basi kajipange upya manake duniani hakuna hatimiliki ya title!
Video kama ntampata wapi ideas yake au kisa magari
Kama DIAMOND kafulia wakati nyimbo yake mpya imeshaingiza pesa za gharama zote na faida je unaweza nitajia msanii watz aliyewahi kufikia rekodi hii ?????Hehehehe wamefulia wazee, wamebaki kupumulia Video tu
Tunawacheka kwa Dharau hehehehehe
Kwenye ile video kuna baadhi ya vipande ni copy and paste ndo godfather alivyoImefanana ile suti nyeupe au kwny kinanda ulitaka iwe kama video ya nagharamia ambayo imefutwa yote wamenza kushoot tena