Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Mimi ni team Diamond kabisa naapa kwa jina takatifu ila hii ngoma ya kawaida sana. Afadhali hata video. Ukisema usikilize audio ndo miyeyusho kabisa huwez sikiliza mara3 mfululizo inaboa. Haina vibes za kali. Na video pia sio kali kiviile. Kiujumla kwangu bila unafiki ni ya kawaida. Shabiki wa kweli ni yule anaesema ukweli jaman. Team baba Tiffah wenzangu tusameheane
 
Ila jamani kupenda ni upofu! Hivi kuna kitu gani katika wimbo huu pamoja na video yake kinachowafanya watu wausifu kuwa mkali?

Wimbo wa kawaida sana kwa level ya Diamond.

Uko sawa huu ni wimbo wa levo ya chini kabisa kwa diamond
 
Nnaungana na wachangiaji wawili wa juu yangu... Nyimbo ya kawaida sana kifupi haishitui hata kidogo
 
labda kama hujui mziki au you are a dickrider rhythm ni mbovu mziki mzuri utaupenda tu hata ukiuskia kwenye radio mbao.
"Nini maana ya rhythm na application yake kwenye huu wimbo?" Tuanzie hapo kwanza!
 
Mkuu hivi kabisaaaaaa unategemea team kiba damu amsifu diamond???

hahahahaha
Wanatia huruma sana hawa jamaa!Halafu kama wangekuwa wanajifanyia tathimini ingekuwa wameshaacha manake tangu waanze kupiga ramli na kuponda; ndo kwanza jamaa anazidi ku-shine!
 
Kakopi title au kakopi content? Kama unazungumzia title; basi kajipange upya manake duniani hakuna hatimiliki ya title!
Halafu iki ndo nlitaka kuwauliza hawa wanashupalia mike t mike t...bora umeniwahi mkuu!
 
Hehehehe wamefulia wazee, wamebaki kupumulia Video tu

Tunawacheka kwa Dharau hehehehehe
Kama DIAMOND kafulia wakati nyimbo yake mpya imeshaingiza pesa za gharama zote na faida je unaweza nitajia msanii watz aliyewahi kufikia rekodi hii ?????
 
Imefanana ile suti nyeupe au kwny kinanda ulitaka iwe kama video ya nagharamia ambayo imefutwa yote wamenza kushoot tena
Kwenye ile video kuna baadhi ya vipande ni copy and paste ndo godfather alivyo
 
Hili NI BONGE MOJA LA NGOMA KWENYE UKWELI LAZIMA TUSEME NA LITABAMBA SANA KAMA LILIVYOWEZA KUBAMBA NDANI YA SIKU 1 YOUTUBE NI TAFULANI.
 
Ngoja tupate informationZ mbalimbali Ulimwengu wa muziiki about CHIEF DANGOTE BIN PLATNUMZ
 
Kama kawaida yake................... wala hatusahngai,.
 
Duuuuuh!!!! jamaaa atauaaaaaaaa
eti antaka aahe na hii pia......
 

Attachments

  • 12341315_1029558333732647_3650518284232653843_n.jpg
    12341315_1029558333732647_3650518284232653843_n.jpg
    89.9 KB · Views: 236
Back
Top Bottom