Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

hit bila kuiskiliza ndio hit gan hiyo sasa?

Hakuna nyimbo inayotolewa na chibu dangote afu isiwe hit!! Ndani ya siku moja tu kila kitu kinajipa.. Mpaka sasa je utanipenda inatrend kuliko hata nyimbo zilizotoka..

Mtumbua majipu Chibu the BADDEST...!!!
 
En next wk anashoot video na Mafikizolo Umeona msururu wa show zakee jamaaa yupo bzy sana kusaka pesa ratiba ake ipo tyt nahisi hata show zingine atakuwa anazikataa
 
En next wk anashoot video na Mafikizolo Umeona msururu wa show zakee jamaaa yupo bzy sana kusaka pesa ratiba ake ipo tyt nahisi hata show zingine atakuwa anazikataa

Nooooooooma!!!

Ila show ya BET ndio kali saaaana!! boonge moja la CV
 
Nooooooooma!!!

Ila show ya BET ndio kali saaaana!! boonge moja la CV

Huyu Jamaa kweli ana njaa ya pesa Wengine wakipata tushow tuwili Mfululizo wanajionaaaaaaaa hadi zingne wanakataa wakati huku Jamaa yupo bzy
 
Huyu ni nouma,Hakuna ka Dmond Platnumz Raisi wa Afrika katika viwanda vya Musiki Barani Afrika-the worldwide act.#UTANIPENDA??
 
Huyu Jamaa kweli ana njaa ya pesa Wengine wakipata tushow tuwili Mfululizo wanajionaaaaaaaa hadi zingne wanakataa wakati huku Jamaa yupo bzy

Ndio hapo sasa..

Mwanamuziki unapopiga show kama ya BET inakupa boost sana, tofauti hata na show yako mwenyewe.. Maana ile inatazamwa na kufuatiliwa na hata watu wasio South Africa, na kizuri zaidi inapewa promo na MTV na BET kitu kinachozidi kukupa exposure...

Sasa hiyo ni moja ya faida ya kupata tuzo ya best live act MTV MAMA, ambayo mwaka jana alipata flavour na wote wawili wameitwa kuperform, maana mtv na bet wanafanya kazi kwa ukaribu sana....
 
Je Utanipenda?,sitegemei kipya tofauti na 21 questions ya 50 cent, au Je utanipenda ya Mike T,teh

Tegemea kipya maana hii inatoka kwa Diamond mtumbua majipu. Kiboko ya Kiba na mabongo fleva wote.
 
Mtandao wa ku-download muziki tooXclusive.com wa Nigeria ambao ndio waandaaji wa tuzo za TooXclusive Awards 2015 wametangaza majina ya nominees wa mwaka huu Kuna jumla ya vipengele 18 vinavyoshindaniwa, na kipengele cha African Artiste Of The Year ndio kinachowahusu wasanii wa nje ya Nigeria ikiwemo Tanzania.

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio wasanii wa Tanzania wanaoshindana na Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), Cassper Nyovest na AKA (South Africa).

AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
-Diamond Platnumz
-Sarkodie
-Cassper Nyovest
-AKA
-Stonebwoy
-Uhuru
-Shatta Wale
-Toofan
-Vanessa Mdee
-Sauti Sol



JE #UTANIPENDA?
 
WCB Familia ya kitajiri..

Kama bado hujajiunga account yake youtube fanya ujiongeze
⬇
youtube.com/user/TheDiamondplatnumz/about?itct=CAAQhGciEwjenL7by8_ JAhWGDBwKHdfYAkg%3D&client=mv-google&gl=TZ&hl=en&app=desktop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…