Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah ghafla visenti sina, nimerudi tandale...
Nimeshindwa kulipa bima, nimeuza madale...
Redio nyimbo wamezima, TV ndio hatare....
Nimenyunda limebaki jina, mitaa ya tandale...
Wale shabiki zangu, walionisifu kwa maneno
matamu... Leo maadui zangu, wakitusi tu kwa
instragram... Nikimuona sallam, anasema
hanifahamu... Hata harmonize nikimpigia
ananifokea kama sanamu.... Na magazeti ya
nyumbani kwa kukuza habari si mnajuaga...
Utasikia tafalani eti mond kwa zari
kashamwagwa... Na mi nilivyo mnyonge, tabia ya
kuwajibu sinaga... Kama naiona michambo ya
madem wa zamani niliowakazaga.... Ninayosema
yana maana, kwani hakuna hajuaye kesho...
Anayepanga ni rabana hila ameificha ni
confidential.... Ukisali omba sana, mumeo nisije
kuwa kichekesho... Mara rafiki wa jana, ndio adui
mkubwa kesho... La lala lala la je utanipendaga,
la lala lala la au nawe utanimwaga???
Dah.... Okey
Hiki ni nini ndo nyimbo au unajaribu kutunga mistari!
Nasikia ndo mistar yenyew
Sio wakati sahihi wa kutoa wimbo mpya hasa kipindi hiki cha utumbuzi wa majipu,watu bizeee na Braza Magu
Adondoshe bana asiwe kama Mr coming soon
Hahahahaha yani leo ndio nimeamini mashabiki wa alikiba wanamoyo wa chuma hahahaha yani wadau licha ya kuambiwa mzigo unatoka leo jioni ila wanaona kama mwaka hiviii sasa nikajiuliza vipi wale walioahidiwa video inatoka na audio lakini mwezi umepita na hawajui kama video ipo au la duuuuuuuh noma sana..
Bomu linaachiwa sio mida...!!
Ninaisubiri kwa hamu iyo ngoma