Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Aah ghafla visenti sina, nimerudi tandale

Nimeshindwa kulipa bima, nimeuza madale

Redio nyimbo wamezima, TV ndio hatare

Nimenyunda limebaki jina, mitaa ya tandale

Wale shabiki zangu, walionisifu kwa manenomatamu

Leo maadui zangu wakitusi tu kwainstragram

Nikimuona sallam, anasema hanifahamu, Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama sanamu

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si mnajuaga,Utasikia tafalani eti mond kwa zari kashamwagwa...

Na mi nilivyo mnyonge, tabia ya kuwajibu sinaga,

Kama naiona michambo ya madem wa zamani niliowakazaga.

Ninayosema yana maana, kwani hakuna hajuaye kesho,Anayepanga ni rabana hila ameificha ni confidential

Ukisali omba sana, mumeo nisije kuwa kichekesho

Mara rafiki wa jana, ndio adui mkubwa kesho

La lala lala la je utanipendaga, la lala lala la au nawe utanimwaga?
 
Aah ghafla visenti sina, nimerudi tandale...
Nimeshindwa kulipa bima, nimeuza madale...
Redio nyimbo wamezima, TV ndio hatare....
Nimenyunda limebaki jina, mitaa ya tandale...
Wale shabiki zangu, walionisifu kwa maneno
matamu... Leo maadui zangu, wakitusi tu kwa
instragram... Nikimuona sallam, anasema
hanifahamu... Hata harmonize nikimpigia
ananifokea kama sanamu.... Na magazeti ya
nyumbani kwa kukuza habari si mnajuaga...
Utasikia tafalani eti mond kwa zari
kashamwagwa... Na mi nilivyo mnyonge, tabia ya
kuwajibu sinaga... Kama naiona michambo ya
madem wa zamani niliowakazaga.... Ninayosema
yana maana, kwani hakuna hajuaye kesho...
Anayepanga ni rabana hila ameificha ni
confidential.... Ukisali omba sana, mumeo nisije
kuwa kichekesho... Mara rafiki wa jana, ndio adui
mkubwa kesho... La lala lala la je utanipendaga,
la lala lala la au nawe utanimwaga???

Hiki ni nini ndo nyimbo au unajaribu kutunga mistari!
 
Wanajamvi,

Muda wowote kutoka sana, mfalme wa wafalme Mond bin laden aka baba tiffah aka mzungu mweusi aka mtanzania pekee aliyejijengea ikulu aka asali ya walembo aka vocalist aka aka aka aka anaenda kudondosha super heat song ever heard.

Stay on this uzi for very recently updates.

 
Last edited by a moderator:
Nasubiria aleti kwa sinu yangu ni mwendo wa kuondoa kila notifikesheni ili nione ya yuotube ingiingia tu nisipitwe nie
 
Adondoshe bana asiwe kama Mr coming soon

Hahahahaha yani leo ndio nimeamini mashabiki wa alikiba wanamoyo wa chuma hahahaha yani wadau licha ya kuambiwa mzigo unatoka leo jioni ila wanaona kama mwaka hiviii sasa nikajiuliza vipi wale walioahidiwa video inatoka na audio lakini mwezi umepita na hawajui kama video ipo au la duuuuuuuh noma sana..

Bomu linaachiwa sio mida...!!
 
Hahahahaha yani leo ndio nimeamini mashabiki wa alikiba wanamoyo wa chuma hahahaha yani wadau licha ya kuambiwa mzigo unatoka leo jioni ila wanaona kama mwaka hiviii sasa nikajiuliza vipi wale walioahidiwa video inatoka na audio lakini mwezi umepita na hawajui kama video ipo au la duuuuuuuh noma sana..

Bomu linaachiwa sio mida...!!

Teh teh mashabiki wa king Zamunda washazoea stress
 
Daaaah bonge moooja ya kitu, Zari lazima atakuwa amemwaga machozi sana kuona hii kitu
 
Diamond atazidi kuwa juu ngoma ina ujumbe mzuri sana
 
Back
Top Bottom