wadau ni nzuri sna kwani maana cjaicheki
uko poa mkuu..Uchekiwadau ni nzuri sna kwani maana cjaicheki
dah to be honest, Audio hii sio hadhi kabisa ya Diamond, mimi ni teamKiba lakini pia huwa napenda nyimbo za Mondy, lakin katika hii hapana, video ndio nzur na ujumbe, naamin producer ndiyo kamuangusha sababu ni mikito ya kizamani

kedrick kuwa muwazi, diamond kawadisapoint sana fans wake, huu wimbo too lacal miomdoko ya kizaman, sio mziki wa kisasa, mwambie jamaa ajipange, hii ngoma haiwezi kuingia kwny nagharamia hata robo.