kijana mkimya
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 277
- 121
video kwangu inaonesha imekua blocked why?
Sure mkuu......na mimi nimejaribu kuiangalia mara ya pili......sijui na south africa blah blah
Sifa nyngne nizamungu bhna punguza mbwembwe
kuna jmbe unasomea hivi "this video contains content from spice digital south Africa, who has blocked it on copyright grounds"
Ngoma hii imfikie TIAGI MASAMAKI mzee wa nyumba 73 popote alipooo
Ngoma hii imfikie TIAGI MASAMAKI mzee wa nyumba 73 popote alipooo
dah to be honest, Audio hii sio hadhi kabisa ya Diamond, mimi ni teamKiba lakini pia huwa napenda nyimbo za Mondy, lakin katika hii hapana, video ndio nzur na ujumbe, naamin producer ndiyo kamuangusha sababu ni mikito ya kizamani