Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Diamond Platnumz new hit song UTANIPENDA

Chibu katika Ubora wake kabisa,, hongera sana kwake aise
 
Kama namuona mwanangu
Roho yangu
Tiffah dangote,
Anakwenda na mama yangu
Kwa jakaya kikwete wanafukuzwa watoke
Usilie sandra wangu
Mboni yangu jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Nitavuma tena mambo yanyooke
 
Nimeisikiliza dogo yupo juu mungu ampe maisha marefu azidi kutupa burudani na ujumbe. Shikamoo chibu...I love you...
 
Naurudia na macho yanaangalia kideo hadi mchoko sasa nikaweka masikio nisikilizeee vizuri haya ni mwendo wa maspika yenye kujua kutoa midundo haswaaaaa
 
Kamaliza kazi, KTMA mwambieni babu aachie hata cha hovyo mumbebe. Tuzo za KTMA hakuna hadhi.
 

Attachments

  • 1449861966086.jpg
    1449861966086.jpg
    21.5 KB · Views: 495
dah to be honest, Audio hii sio hadhi kabisa ya Diamond, mimi ni teamKiba lakini pia huwa napenda nyimbo za Mondy, lakin katika hii hapana, video ndio nzur na ujumbe, naamin producer ndiyo kamuangusha sababu ni mikito ya kizamani

Umeanza
 
Back
Top Bottom