Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

Halafu ukiuliza nani aliyetongozwa miongoni mwa hao mabinti, unaweza usimkute. Hebu tuanze kuwalaumu hao mabinti wanajileta wenyewe, hata wengine kuna kipindi fulani wakawa wanaenda kwa Halima Kimwana awakuwadie kwa jamaa.

Mabinti wenyewe hawajielewi.
Point,but jamaa ajitahidi kujizuia na aoe Kama watamtafuta tena.
 
Hivi wewe kwa kizazi cha sasa hao mabinti wakikuamulia wakupate unawajua?
Aoe Halafu mengine yatafuata mbn kiba kutulia wewe unadhani wanawake hawamtaki?ajiheshimu kwanza na watamuogopa.
 
Acha Wivu Kwa Mwanaume Mwenzio Au anataka Umegwe Ww?
Habari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
 
Aoe Halafu mengine yatafuata mbn kiba kutulia wewe unadhani wanawake hawamtaki?ajiheshimu kwanza na watamuogopa.
Hivi wewe ndiye unayejua maisha ya Kiba kiundani, au tuhuma zake hujazisikia za hivi karibuni. Huyo jamaa ni mafia ila wa kimyakimya
 
Lakini kaoa nw na diamond aoe na afanye kimya kimya Kama kiba.
Hivi wewe ndiye unayejua maisha ya Kiba kiundani, au tuhuma zake hujazisikia za hivi karibuni. Huyo jamaa ni mafia ila wa kimyakimya
 
Habari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
Mwache awachape faida yake atakuja kuiona baadae,wapi Mzee wa KIDALI Poo? Ukiwa Chapachapa hakika hautabaki SALAMA lazima Uunganishwe kwenye "GRIDI YA TAIFA" aka UMEME MKUBWA wa 33Kv
 
We bwege nini kwani maisha yake ya mapenzi yanahusiana nini na wanainchi ao na fans wake? Muziki mbali na maisha yake ...
 
Back
Top Bottom