Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

Wewe yanakuhusu nini?je uhuni wake ana kuathiri vipi maisha yako?live and let live
 
Hahahaha aisee kutoka kuitwa hater mpaka akili nyingi duh
Huyo mzazi ana akili nyingi kama wewe. Laiti kama ungekuwa ni mwanamke ambaye hujaolewa ningekutafuta nikuchumbie ASAP.
 
Habari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
Tatizo Tandale!!! Ila yana mwisho!! itaenda ata trend ata enjoy .......Ruge yupo Hospital and not at Beach in South Africa.Mwalimu wangu wa History Late Sister Aquinass... aliwa niambia kuwa unaweza Ongopea Dunia nzima but uwezi jiongopea mwenyewe
 
Back
Top Bottom