Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kuna ya kuvaa siku hiziNdio maan ana hogoView attachment 950615
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna ya kuvaa siku hiziNdio maan ana hogoView attachment 950615
Ili ionekane kwenye picha ?Kuna ya kuvaa siku hizi
Yes ya kuringishia hasa wale wasiojiaminiIli ionekane kwenye picha ?
basi hii jeneresheni ina matatizo mengi sana.Yes ya kuringishia hasa wale wasiojiamini
Hahahaha, tuache mizaa jamani uyu mhuni ashambuliwe Kama anawala asiwaposti afanye kimya kimya Co kila wiki anaposti mademu wapya Kwani lazima kuwaposti Wakuu.Ndio maan ana hogoView attachment 950615
Unataka na wewe akupost ?Hahahaha, tuache mizaa jamani uyu mhuni ashambuliwe Kama anawala asiwaposti afanye kimya kimya Co kila wiki anaposti mademu wapya Kwani lazima kuwaposti Wakuu.
Huyo mzazi ana akili nyingi kama wewe. Laiti kama ungekuwa ni mwanamke ambaye hujaolewa ningekutafuta nikuchumbie ASAP.
Tatizo Tandale!!! Ila yana mwisho!! itaenda ata trend ata enjoy .......Ruge yupo Hospital and not at Beach in South Africa.Mwalimu wangu wa History Late Sister Aquinass... aliwa niambia kuwa unaweza Ongopea Dunia nzima but uwezi jiongopea mwenyeweHabari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
Unaweza kuta huyu mwanzisha sridi ni baba wa familia