Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Point,but jamaa ajitahidi kujizuia na aoe Kama watamtafuta tena.Halafu ukiuliza nani aliyetongozwa miongoni mwa hao mabinti, unaweza usimkute. Hebu tuanze kuwalaumu hao mabinti wanajileta wenyewe, hata wengine kuna kipindi fulani wakawa wanaenda kwa Halima Kimwana awakuwadie kwa jamaa.
Mabinti wenyewe hawajielewi.
Hivi wewe kwa kizazi cha sasa hao mabinti wakikuamulia wakupate unawajua?Point,but jamaa ajitahidi kujizuia na aoe Kama watamtafuta tena.
Habari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
Hivi wewe ndiye unayejua maisha ya Kiba kiundani, au tuhuma zake hujazisikia za hivi karibuni. Huyo jamaa ni mafia ila wa kimyakimyaAoe Halafu mengine yatafuata mbn kiba kutulia wewe unadhani wanawake hawamtaki?ajiheshimu kwanza na watamuogopa.
Ngoja nimwambie na wewe akupostDu Mbona iwe mm tena,hapana mm naona ni vema akiwa anafanya mambo yake ya kimahusiano kwa Siri Co mitandaoni.
Sasa hapo ni sawa na kuzoa mavi huku bado ukiendelea kunyaLakini kaoa nw na diamond aoe na afanye kimya kimya Kama kiba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Watu mna nongwa sana.Unaweza kuta huyu mwanzisha sridi ni baba wa familia
Mwache awachape faida yake atakuja kuiona baadae,wapi Mzee wa KIDALI Poo? Ukiwa Chapachapa hakika hautabaki SALAMA lazima Uunganishwe kwenye "GRIDI YA TAIFA" aka UMEME MKUBWA wa 33KvHabari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza mambo anayotaka kufanya na kufanikiwa.lakini sasa huo usanii wake ameuamishia kwa wanawake hadi mashabiki wanashindwa kumsoma,maana ndani ya mwezi huu tu ameonekana na warembo kadhaa alianza #Kim nana katika wasafi yatch party inshort hakumwacha salama kwa jinsi walivokuwa close that na so on,then kuna official Lynn tetesi zimekua zikionyesha ni demu wake na hata amekuwa close na wasafi na wasafi media akipata promo nyingi Sana na wote hawa walikuwepo mtwara,bado kule Dubai akatajwa #nandy kuwa wananihino,lakini tena wiki hii jamaa kulekule mtwara kamtaja #Natasha na vijana wa WCB Nmeona wameposti video uyo demu yupo na wasafi kwenye gari wanaenda iringa,kademu kanaona aibu Kama zote,so mashabiki wanadata nani ni nani maana jamaa ni mhuni Sana aisee,so ndio kusema simba wa mbuga ya tandale kaamua kutulia na uyu demu wa Kenya [emoji1139].au kupatanisha mwingine next wk but uyu na official Lynn ni mademu Wakali jamaa aoe Kati ya hawa au ni kiki?
Unaweza kuta huyu mwanzisha sridi ni baba wa familia
Mimi kashanipost bado wewe tu. Ndio mama unalialia hapa jfAkuposti wewe wa dume la dar,