Imagine Diamond anatapeliwa Hadi kwenda kulilia Polisi, wewe mwenzangu utasalimika?
Ongezeni nyama basi maana naona kama sioni hivi, inaweza kuwa kamba maana Ukisikia mtu anaitwa msanii hapa Bongo ujue ni mpiga kamba 😆😆
=======
Baada ya kutua Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga leo Oktoba 29, staa wa bongoflava Diamond Platnumz amefunguka kuhusu ishu ya ndege yake binafsi (private jet) aliyotaka kununua.
"Ishu ya ndege yangu ina mambo kidogo, nilinunua jet nimelipa fedha nimetapeliwa, nilimpigia Waziri Mbarawa (Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa) alinisaidia, kaka yangu Hamza ( Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Hamza Johari) alinisaidia na sasa serikali nzima inanisaidia kupata haki yangu, nililipa fedha nyingi, kianzio zaidi ya bilioni ila niliowawatumia wananiletea ujanja ujanja," amesema Diamond Platnumz
Diamond amekuwa akitumia ndege binafsi katika safari zake za ndani na nje ya nchi.
Staa wa Muziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz ameweka wazi sababu ya ngege yake binafsi kutofika mapema na kusema aliibiwa Tsh. Bilioni 4 wakati anataka kununua na swala lipo serikalini.
Akipiga story na wanahabari staa huyo amesema; Zaidi ya Bilioni 4 nilipigwa changa la macho, wamenichelewesha lakini nilikuwa nimepanga mpaka mwaka huu niwe nasafiri na ndege yangu lakini wameniletea ujanja wakanipiga kama bilioni 4 ila kwenye serikali ya Tanzania huwezi kuleta ujanja ujanja."

Sidhani. Mimi nililipa sh. 45m NMB adv ya kupata gari kutoka ughaibuni mwaka jana hadi leo sijapata. Mhusika alishahama Tanzania na kampuni yake haipo tena nchini. Anaishi lndia karibu na wachina huko. Bado nahangaika kurejesha hiyo pesa.
Matapeli wapo