Diamond Platnumz: Niliibiwa Tsh. Bilioni 4 niliyotaka kununulia ndege

Mambo ya kununua vitu kwa advance mengi huwa yanaishia pabaya
 
Mkuu nilichokisema nakielewa vizuri. Najua hawezi kuwa na kiasi chote hicho bank lakini ujue hawezi kushindwa kupata hiyo pesa bank anapohitaji.
 
sawa, lakini ndege sio kama gari mkuu, ikizingua kidogo tu umekufa, kununua za mtumba sio sahihi
Zinauzwa. Nilishawahi kuona serikali ya TZ iki-declare moja ya ndege zake ndogo ni chakavu na inauzwa. Kile kindege kiliuzwa kwa bei ya hovyo mno. Ilikuwa sawa na bure
 
Unafikiri watu wote wana njaa kama wewe? Yaani unawaita wenzio wajinga kwa sababu ya njaa yako?
Pesa za Diamond unaumia kitu gani? Acha ufala.
Dah we jamaa una Imani kali sana...utakuwa mrahisi sana kutapeliwa
 
Kwahiyo diamond unamlinganisha na wafanyabiashara biashara hao !


Su huyo diamond tra walimpelekea invoice ya milion 200 tu akataka kufunga kituo Hadi akaitisha press conference serikali waingilie!




Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Million 200 ni ndogo? Kwani ukiwa tajiri ni lazima awe unatoa hela ovyo ovyo? Hivi umeona mo dewji alivyombahili pamoja na hela zake zote
 
Kuwa tajiri siyo kigezo cha kutoa pesa kirahisi kama unajiona wewe ukishika elfu 50 huoni ugumu kutoa elf 6 basi ujue we bado ni masikini usie na mipango yoyote

Tajiri mzoefu jinsi anavyozidi kupata pesa ndo jinsi anazidi kuwa mgumu maana mipango nayo inaongezeka kwahiyo usishangae kuona anaitisha press kwasababu ya million 200 hiyo ni pesa nyingi

Kuna tajiri mmoja miaka ya nyuma alikua anamiliki mabus flan hivi ila kila siku alikua anasoma mita ya maji ya nyumban kwake na kuandika sehemu baada ya kugundua anabambikiwa bill ya maji kisa tu wamemuona ni tajiri, kwahiyo usishangae jinsi unavyozidi kuwa na pesa ndo jinsi ugumu unaongezeka
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji38][emoji1][emoji1]
 
Alafu hiyo private jet ya 4 Billion za madafu iko wapi,labda aseme alitaka kununua vile vindege wanaviita focus,au vichata lakini sio private jet ya maana,,hizo zinaanzia Dola 20 million na kuendelea huko na hapo bado running costs and maintenance costs zake na Bado vibali na parking fees,ebu aache utani kama ananunua vile vya kubeba abiria watano Hadi nane sawa hizo bei ni ndogo nazo sio 4 Billion ni kuanzia at least 8 billion huko.
Hizo ndege ndogo ndogo hata matajiri wa Arusha wengi tu wanazo maana bei zake ni kuanzia 2 b na kuendelea na kuwa na 4 sio ishu hapo kariakoo tu wapo jamaa zangu wakinga na wachaga machalii wadogo tu wanauza nguo na viatu from china account zao ni zaidi ya 10 billion niamini Mimi nakuambia na hawana shobo kabisa.
 
Aliyekuambia kununua gari la 45M na kununua ndege ya 4B kunafanana ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…