Diamond platnumz pamoja na Rayvany kukiwasha Christmas hii Sokoine free entry

Ukisema hilo unaonekana hater, lakini mimi nililisema mara nyingi sana hata kiuhalisia Rayvanny, Lava Lava na Mbosso hawana mashabiki wao isipokua mashabiki wa Mondi ndio wanawabeba, kuna shida mahali, ndio maana nimemsapoti Harmonize kwa ushauri wake wa kujitegemea na kujiangalia kama ataweza kujimwambafai mwenyewe au laa.
 
Atatokea innocent akwambie wote hawa wapo chini ya wcb hivyo wanalipwa mshahara haina haja ya kulalamika boss kutangaza tamasha bure
Izo business ,badest 47,mzee wa bwax ,amber lulu,young Dee,nyandu tozy,ice boy,s2kizzy,selementary,mabantu,gach boy,mkali wenu,jokk star wasanii wote wanaoiwakilisha mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mondi amefanya hivyo kwa love yake kwa wanambeya ila kwa clouds lazima watu watashangaa cos wanakuwa na wasanii wengi uwezi kuwaita wasanii wengi wakapiga show bure bila ridhaa yao
Hahah clouds walifanya kwa buku 3 na buku 5 mkawatukana weeeee! Sasa leo wasafi wanafanya bure mmekuwa wapole kama mmemwagiwa maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapo ndiyo Harmonize alipopatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True say, ndio maana siku zote Mimi ninasema siuoni ukubwa wa reyvanny na mbosso nje ya mond, kila kitu mond tu, vanbyboy hit songs zake zote kamshirikisha mond akisimama mwenyewe ngoma zinakuwa za kawaida, harmo kajitoa wcb sasa ni msanii na2 km sio na3 kwa kutrend na kuongelewa tz,in short ukubwa wake umeonekana ,wcb alikuwa anamezwa na kivuli cha mond,
 
Mboso mbona anafanya show za pekee yake na siku ya boxing day anafanya dar live mbagala na pia lavalava ana show ya pekee moshi.Rayvanny show zote za nje amefanya pekee yake Tena kwenye makumbi makubwa na moja alifanya uwanjani.
 
Si walisema wanakwenda Kigoma na train sasa leo imekua mbeya?,acha kupotosha watu buana,tuwekee hapa hilo tangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…