Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Ukisema hilo unaonekana hater, lakini mimi nililisema mara nyingi sana hata kiuhalisia Rayvanny, Lava Lava na Mbosso hawana mashabiki wao isipokua mashabiki wa Mondi ndio wanawabeba, kuna shida mahali, ndio maana nimemsapoti Harmonize kwa ushauri wake wa kujitegemea na kujiangalia kama ataweza kujimwambafai mwenyewe au laa.Imefika point Mimi nadhani itakuwa in vizuri zaidi hawa wakina vanny wawe wanapiga show wenyewe bila kumtegemea mond ili wajijenge zaidi na waweze kujitengenezea ufalme wao,hii ya kumualika domo kila show ni kukosa kujiamini tu na kuonesha bila domo you're nothing just a piece of trash, watu wanasema we msanii mkubwa sana show them how big you are? Show them you can pull a crowd by yourself,