Diamond platnumz pamoja na Rayvany kukiwasha Christmas hii Sokoine free entry

Diamond platnumz pamoja na Rayvany kukiwasha Christmas hii Sokoine free entry

Imefika point Mimi nadhani itakuwa in vizuri zaidi hawa wakina vanny wawe wanapiga show wenyewe bila kumtegemea mond ili wajijenge zaidi na waweze kujitengenezea ufalme wao,hii ya kumualika domo kila show ni kukosa kujiamini tu na kuonesha bila domo you're nothing just a piece of trash, watu wanasema we msanii mkubwa sana show them how big you are? Show them you can pull a crowd by yourself,
Ukisema hilo unaonekana hater, lakini mimi nililisema mara nyingi sana hata kiuhalisia Rayvanny, Lava Lava na Mbosso hawana mashabiki wao isipokua mashabiki wa Mondi ndio wanawabeba, kuna shida mahali, ndio maana nimemsapoti Harmonize kwa ushauri wake wa kujitegemea na kujiangalia kama ataweza kujimwambafai mwenyewe au laa.
 
Atatokea innocent akwambie wote hawa wapo chini ya wcb hivyo wanalipwa mshahara haina haja ya kulalamika boss kutangaza tamasha bure
Izo business ,badest 47,mzee wa bwax ,amber lulu,young Dee,nyandu tozy,ice boy,s2kizzy,selementary,mabantu,gach boy,mkali wenu,jokk star wasanii wote wanaoiwakilisha mbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mondi amefanya hivyo kwa love yake kwa wanambeya ila kwa clouds lazima watu watashangaa cos wanakuwa na wasanii wengi uwezi kuwaita wasanii wengi wakapiga show bure bila ridhaa yao
Hahah clouds walifanya kwa buku 3 na buku 5 mkawatukana weeeee! Sasa leo wasafi wanafanya bure mmekuwa wapole kama mmemwagiwa maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imefika point Mimi nadhani itakuwa in vizuri zaidi hawa wakina vanny wawe wanapiga show wenyewe bila kumtegemea mond ili wajijenge zaidi na waweze kujitengenezea ufalme wao,hii ya kumualika domo kila show ni kukosa kujiamini tu na kuonesha bila domo you're nothing just a piece of trash, watu wanasema we msanii mkubwa sana show them how big you are? Show them you can pull a crowd by yourself,
Na hapo ndiyo Harmonize alipopatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema hilo unaonekana hater, lakini mimi nililisema mara nyingi sana hata kiuhalisia Rayvanny, Lava Lava na Mbosso hawana mashabiki wao isipokua mashabiki wa Mondi ndio wanawabeba, kuna shida mahali, ndio maana nimemsapoti Harmonize kwa ushauri wake wa kujitegemea na kujiangalia kama ataweza kujimwambafai mwenyewe au laa.
True say, ndio maana siku zote Mimi ninasema siuoni ukubwa wa reyvanny na mbosso nje ya mond, kila kitu mond tu, vanbyboy hit songs zake zote kamshirikisha mond akisimama mwenyewe ngoma zinakuwa za kawaida, harmo kajitoa wcb sasa ni msanii na2 km sio na3 kwa kutrend na kuongelewa tz,in short ukubwa wake umeonekana ,wcb alikuwa anamezwa na kivuli cha mond,
 
Mboso mbona anafanya show za pekee yake na siku ya boxing day anafanya dar live mbagala na pia lavalava ana show ya pekee moshi.Rayvanny show zote za nje amefanya pekee yake Tena kwenye makumbi makubwa na moja alifanya uwanjani.
 
Wasalaam wakuu baada ya mda mrefu platnumz kutokukanyaga mbeya tarehe 25 anakuja kusherehekea ten years of platnumz na wana mbeya hii inasemekana ni kutokana na jamaaa kuidis mbeya kuwa hakuna hotel ya kulala yeye wanambeya walimind Sana hili swala lakin mwaka huu naona ameamua kuachana na bifu na wanambeya kabla ya yeye kutokuwepo ilikuwa ni show ya rayvany na wasaniii wengine wanaotoka mbeya Ila yeye baadae akasema na Mimi nitakuwepo na itakuwa bure hakuna kingilio kabla hajasema atashiriki kiingilio ilikuwa 5000,karbu mbeya platnumz watu wa huku ni jeuri ila kwako hakuna wa kukupinga jeur ya wanambeya kwisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Si walisema wanakwenda Kigoma na train sasa leo imekua mbeya?,acha kupotosha watu buana,tuwekee hapa hilo tangazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangazo hilo hapo la Kigoma wala sio Mbeya
tapatalk_1577015160655.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom