evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Habari ya uongo achana na huyu kimaKigoma Independent hii habari Ni nzuri Sana na Ni kubwa Sana kwenye industry yetu ya mziki ukutakiwa uwasilishe kwa huo mtindo huo wa mipasho hakukua na sababu ya kufanya hivyo mzee next time jifunze kuandika Uzi bila mipasho au usingeandika kabisa watu wastaharabu wangeandika Hilo ndio uliokosea mzee
Hii ni ya ya CCM zaidi,ndio maana unawaona wanawanadi CCM tu majukwaani. Mimi,rafiki zangu na familia zetu hatuwezi wapigia hawa wasaniihii sio uvccm Wala upinzani, hii ni yetu sote let's go [emoji123] tukavote kwa wingi wawe nominated official Grammy
Hakuna utaratibu Kama huoWakuu naomba mwenye uelewa wa jinsi ya ku vote kwenye grammy consideration anielekeze please,I want to vote down Zuchu for good.
Hawa wamefanikiwa kuwagawa watanzania kiasi kikubwa na kuwabagua, kuna hatari kubwa na wao impact hii ikawaandamahii sio uvccm Wala upinzani, hii ni yetu sote let's go [emoji123] tukavote kwa wingi wawe nominated official Grammy
Hivi hizo itikadi ni kwa mtu mmoja tu au? Mbona wasanii ni wengi walioimba nyimbo za hivyo kwamba hao hawaonekani au na pia hao wasanii zamani walikuwa hawatumiki kwenye kampeni au ndio leo hizo harakati ndio zinaonekana kama kugoma wamgomee na Mo Dewj mbona alionekana kuunga mkono upande mmoja basi waache kushabikia Simba sc na kugomea bidhaa zake. Likiwezekana hilo itakuwa sio unafki.Inakubidi ufahamu hakuna kitu kibaya kama itikadi. Siasa ni itikadi. Athari nyingi na maafa mengi binadamu kwa binadamu moja miongoni mwa kisababishi ni itikadi ya mlengo wowote ambao wao wanaouamini.
CCM na Upinzani ni vyama vyenye watu wenye itikadi zao. Itikadi inajikita kwenye mizizi ya moyo kabisa!
Msanii kwa sanaa yake anakuwa kiunganishi cha watu wenye itikadi tofauti kuwa wamoja na ni kwa burudani tu. Atakapoanza kuonyesha itikadi yake siyo kosa! Kosa ni pale unaporusha vijembe na kebehi kwa itikadi nyengine ambayo hiyo itikadi imekusanya miongoni mwa ujumla wa mashabiki wako.
Unachotegemea ni nini? Watakuasi tu! Umeitusi au kuikebehi itakadi yao ya Uchama ambayo imejikita kwenye moyo halafu unakuja kwa nembo ya Utaifa wakuunge mkono kwenye kazi yako?!
Wataungana na adui yako! Ndiyo kilichotokea kwa Zuchu na WCB. Kwa namna moja ama nyengine inaweza isiwaathiri ila kwa namna moja ama nyengine inaonyesha wapo mashabiki wapo serious kwenye mambo yao hususani masuala ya itikadi na wamewaonyesha kama wanaweza na wanaweza.
Inawabidi waelewe siasa ya Tanzania inabadilika kwa kasi ya hasira ambayo ni mbaya sana! Ana uhuru wa kuchagua chama! Ila afahamu siasa ni itikadi na yeye ni msanii achange karata zake vyema kama anatarajia kupata support ya jamii nzima yenye itikadi ya vyama tofauti.
Kama una akili timamu uhitaji kupewa uthibitisho labda uwe zero brainUna uhakika na unachosema!!? ukiambiwa uthibitishe utaweza!! Watanzania bhana
Mkuu naona like moja tu , tatizo nini ?nobody like mondiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
#gonga like kama unampenda diamondplatnumz
mimi ni zero brain mkuu..wew una akili sana..😀Kama una akili timamu uhitaji kupewa uthibitisho labda uwe zero brain
Sent using Jamii Forums mobile app
Huhitaji pia kuwa na akili sanamimi ni zero brain mkuu..wew una akili sana..[emoji3]
Nimekwambia heri yako wew mwenye akili.! Mimi zero bhana..shida iko wapi!! mimi nimeanza kuijuia JF kabla yako miaka 9 iliyopita!!
Shida iko kwenye kutia chumvi kauli yanguNimekwambia heri yako wew mwenye akili.! Mimi zero bhana..shida iko wapi
ok!! nimekupata kiongozi
hata mim nashangaa