Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

Polepole oyeeee.
 
Shimakoo anthony_art, umeongea point nzuri sana. Tena umeijenga vizuri sana. Lakini kama "A ni mtesi wa familia yako, lakini familia yako inaogopa kukuunga mkono kukabiliana na mtesi, Je hilo linakupa legitimacy ya kuungana na A dhidi ya familia yako"?
 
Andika taratibu hela yako ya posho ipo tuu
 
Inakubidi ufahamu hakuna kitu kibaya kama itikadi. Siasa ni itikadi. Athari nyingi na maafa mengi binadamu kwa binadamu moja miongoni mwa kisababishi ni itikadi ya mlengo wowote ambao wao wanaouamini.

CCM na Upinzani ni vyama vyenye watu wenye itikadi zao. Itikadi inajikita kwenye mizizi ya moyo kabisa!

Msanii kwa sanaa yake anakuwa kiunganishi cha watu wenye itikadi tofauti kuwa wamoja na ni kwa burudani tu. Atakapoanza kuonyesha itikadi yake siyo kosa! Kosa ni pale unaporusha vijembe na kebehi kwa itikadi nyengine ambayo hiyo itikadi imekusanya miongoni mwa ujumla wa mashabiki wako.

Unachotegemea ni nini? Watakuasi tu! Umeitusi au kuikebehi itakadi yao ya Uchama ambayo imejikita kwenye moyo halafu unakuja kwa nembo ya Utaifa wakuunge mkono kwenye kazi yako?!

Wataungana na adui yako! Ndiyo kilichotokea kwa Zuchu na WCB. Kwa namna moja ama nyengine inaweza isiwaathiri ila kwa namna moja ama nyengine inaonyesha wapo mashabiki wapo serious kwenye mambo yao hususani masuala ya itikadi na wamewaonyesha kama wanaweza na wanaweza.

Inawabidi waelewe siasa ya Tanzania inabadilika kwa kasi ya hasira ambayo ni mbaya sana! Ana uhuru wa kuchagua chama! Ila afahamu siasa ni itikadi na yeye ni msanii achange karata zake vyema kama anatarajia kupata support ya jamii nzima yenye itikadi ya vyama tofauti.
 
Dependent kamkosoa Independent🏇🏇🏇🏇🏇🚴🚵
 
Mimi nikiwa na akili ya kipumbavu sijui wewe akili yako itakuwaje..

Mbona ni simple tu kampigie kura wewe,mimi na wadau wengine kwenye huu uzi hatupigii kura..hutaki jilipue
cku hzi hata mashabiki wa ccm wasiompenda Mond utasikia "akapigiwe kura na wanaccm wenzake " 😀😀😀wanajisahau kuwa nao ni wanaccm ila n team kiba
Inaonesha team kiba wote ni wanachadema ila mfalme yupo upande mwingine
 
WCB baba lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…