Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

Yule mwenye kiberiti kwenye moyo atachaguliwa kuonesha kiberiti chake
Sisi hatujawahi kukiona hicho kiberiti kwenye moyo,kwahiyo hatuwezi kujadili mythic ideas.Tujikite kwa huyu anetembea kama tipa linabinua mchanga.

NB:Sio vizuri kufurahia ulemavu au ugonjwa wa mtu,kwakuwa wote tunapita hapa duniani,ila Kuna wakati wapumbavu Kama wewe hutakiwa kujibiwa pia.Maana Kama jinsi wewe usivyokubaliana na mtu fulana,Mimi pia sikubaliani na mtu fulani.
 
Sisi hatujawahi kukiona hicho kiberiti kwenye moyo,kwahiyo hatuwezi kujadili mythic ideas.Tujikite kwa huyu anetembea kama tipa linabinua mchanga.

NB:Sio vizuri kufurahia ulemavu au ugonjwa wa mtu,kwakuwa wote tunapita hapa duniani,ila Kuna wakati wapumbavu Kama wewe hutakiwa kujibiwa pia.Maana Kama jinsi wewe usivyokubaliana na mtu fulana,Mimi pia sikubaliani na mtu fulani.
We binti tuliza rinda hilo
 
Wenzao wa Nigeria wamekaza hadi SARS imekuwa abolished, akina wizkid, Davido na wenzao wakiwa frontline, huku wanajaza matumbo kuungana na watesi! Muda wa kuchuma ulipopanda, ccm unganeni muwapigie kura!
Unajua Nigeria walioanzisha Ni raia wa kawaida Kama sisi then wasanii wakaungana kwapamoja, sisi tumekomaa kulaum wasanii wakat tumeufwata mkia. Roma alitekwa na wa2 wengi tu lakin hatukudirik Wala kuingia barabaran kuwatetea nakumbuka mange kimambi alianzisha maandamano Nani alitoa mguu wake nje? Tuache kulaum wasanii as if wao pekee ndio wenye jukum hili,
 
wewe kweli hamnazo , afu ukiwapigia hao Nigeria utafaidika na Nini...? au watapungukiwa na Nini..? so jitafakari kijana usiwaonee wivu kuwa ccm maana na wewe hawajakuonea wivu kuwa upinzani that's why burudani wanatoa kwa watanzania wote let's go [emoji123] tukavote
Katika hili acha niwe na wivu tu mkuu...bora niwapigie wa nje hawa wa ndani wameamua kuwa upande wa mkandamizaji kwa manufaa yao..acha wapigiwe kura na wakandamizaji wenzao
 
Solution ni kupigia kura wapinzani wao from Nigeria & other countries.
Kwann kuwe na hizi harakat za kuwaminya wasanii badala ya kuanzisha harakat za kudai haki na Uhuru? Sisi wenyewe waoga Ila tumeona wasanii hawawez kutufanya chochote
 
Habarini Wana jamvii.

hii ni kubwa kuliko kwa wasanii wetu pendwa watatu, Diamond platinumz The G.O.AT in East Africa), rayvanny (the one and only BET winner in East Africa)and zuchu(Best female artist in East Africa) kuwa nominated as consideration kwenye tuzo za Grammy zitakazo kuja kufanyika mwaka 2021.

1.Diamond platinumz the G. O. A. T ameingiza Jeje(Best video)&Baba lao(best video).

2.Rayvanny(Beat album flowers).

3.Zuchu(Best new comer).

N. B:Hakuna msanii Africa mashariki ambaye amesha wahi kufikia hiyo hatua, so chondchonde narudia tena chondchonde Diamond asilinganishwe na wasanii wazee na maunder grounds.

pia, hakuna album iliyofikia mafanikio Kama ya rayvanny, so naomba rayvanny album isifananishwe na utopolo fc.

Mwisho kabisa, akuna msanii wa kike ambaye Alisha fikia mafanikio kaka ya zuchu, so naomba zuchu asifananishwe na utopolo.

POVU KAFULIENI NGUO ZENYE KIWANGO CHA PHD, SGR na PHD.
Hizi habari zinawahusu ccm. Sisi Chauma hazituhusu
 
Ni bora nimpigie msanii ambaye hata sijui kuliko kumpigia kura msanii wa CCM never.
Kuna mistari ya Zuchu naisikia kichwani kwa saaana tu.

'Nasema wapinzani watetereke sana Wapinzani watetereke sana'

'Wapinzani wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa Wamekaa, kaa, kaa, kaa kaa'

Hakika Zuchu atakula alikopeleka Mboga.
 
Back
Top Bottom