Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi mwenyewe naona wamemuonea msanii wetu namba moja pamoja na album yake number moja Africa, in Burnaby voice [emoji23][emoji23][emoji23]
haiwedhekani mthanii wetu pendwa aimbe kidhungu alafu hawa gilammi wajifanye hawaoni, haidhekani nathema tena haiwedhekani
 
tatizo unaleta uteam kwenye Mambo ya muhimu, kalale kijana inaonekana bado unanyonya eboooooooh shubamit[emoji23][emoji23][emoji23]
Uteam gani? Naona umeamua kujiweka wazi sasa,kumbe umeleta thd kwa misingi ya uteam? team gani hizo? mimi nimechangia jinsi uwasilishaji wako ulivyo na wala sijachangia mada husika,uwe unasoma na kuelewa kwanza,umewasilisha thd kimbea mbea sana halafu unaonekana ni mtu mwenye gubu na ni hater unayetesa nafsi yako.
 
unaroho ya kwanini...!!!?? sasa wao watakusaidia Nini na ndo maana mpaka now hawajawa considered [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu usipende kuwa nyuma kwenye fikra,unachagua msanii just tu ni raia wa nchi yako or qualities za mziki na msanii husika?ingekuwa watu wanawaza the same as you basi wasanii wa china wangeshinda kila mwaka as they are having a population of 1.3 billion +.Think big
 
You are an empty vessel,ulifikiri kila mtu anaakili za kushikiwa kiasi kwamba kila anachoambiwa anafata?hizi ndo tunaziita akili za kula rambirambi za wananchi
you're empty vessel square [emoji23][emoji23][emoji23] ,najua one-day utashikwa tu akili zako[emoji123]
 
hakukuwa hata na haja ya kuishangilia Burundi kwani matokeo yalikuwa dhahiri yanajulikana hata kabla ya mechi.
dimba lilikuwa lishakojolewa nuksi siku 2 kabla!
lakini ujue Jana tulikuwa na uwezekano wa kushinda hata goal 12,sema red card ilituaribia sana.
 
haiwedhekani mthanii wetu pendwa aimbe kidhungu alafu hawa gilammi wajifanye hawaoni, haidhekani nathema tena haiwedhekani
thatha kaka tutafanyaje...? wakati yeye ndo mthanii peke ake anayejulikana kutoka Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au tuandamane wamemuonea mthanii wetu pendwa Tanzania [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Uteam gani? Naona umeamua kujiweka wazi sasa,kumbe umeleta thd kwa misingi ya uteam? team gani hizo? mimi nimechangia jinsi uwasilishaji wako ulivyo na wala sijachangia mada husika,uwe unasoma na kuelewa kwanza,umewasilisha thd kimbea mbea sana halafu unaonekana ni mtu mwenye gubu na ni hater anayetesa nafsi yako.
haunisumbui bin uteleze[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu usipende kuwa nyuma kwenye fikra,unachagua msanii just tu ni raia wa nchi yako or qualities za mziki na msanii husika?ingekuwa watu wanawaza the same as you basi wasanii wa china wangeshinda kila mwaka as they are having a population of 1.3 billion +.Think big
"Think big and Grow rich" unajua maana ya uzalendo...?
 
Back
Top Bottom