Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

Diamond Platnumz, Rayvanny na Zuchu wamependekezwa kuwania tuzo za Grammy 2021

Habarini Wana jamvii.

hii ni kubwa kuliko kwa wasanii wetu pendwa watatu, Diamond platinumz The G.O.AT in East Africa), rayvanny (the one and only BET winner in East Africa)and zuchu(Best female artist in East Africa) kuwa nominated as consideration kwenye tuzo za Grammy zitakazo kuja kufanyika mwaka 2021.

1.Diamond platinumz the G. O. A. T ameingiza Jeje(Best video)&Baba lao(best video).

2.Rayvanny(Beat album flowers).

3.Zuchu(Best new comer).

N. B:Hakuna msanii Africa mashariki ambaye amesha wahi kufikia hiyo hatua, so chondchonde narudia tena chondchonde Diamond asilinganishwe na wasanii wazee na maunder grounds.

pia, hakuna album iliyofikia mafanikio Kama ya rayvanny, so naomba rayvanny album isifananishwe na utopolo fc.

Mwisho kabisa, akuna msanii wa kike ambaye Alisha fikia mafanikio kaka ya zuchu, so naomba zuchu asifananishwe na utopolo.

POVU KAFULIENI NGUO ZENYE KIWANGO CHA PHD, SGR na PHD.
Kigoma Independent hii habari Ni nzuri Sana na Ni kubwa Sana kwenye industry yetu ya mziki ukutakiwa uwasilishe kwa huo mtindo huo wa mipasho hakukua na sababu ya kufanya hivyo mzee next time jifunze kuandika Uzi bila mipasho au usingeandika kabisa watu wastaharabu wangeandika Hilo ndio uliokosea mzee
 
nani awapigie kura hawa? waende kwa Polepole!
Kwani usipowapigia wewe ndio kutafanya wasipigiwe kura hao Wana fans wengi Sana wewe hata usipopiga huna impact yoyote wewe baki na siasa yako uone Kama itakufanya uwe na maisha Bora
 
Habarini Wana jamvii.

hii ni kubwa kuliko kwa wasanii wetu pendwa watatu, Diamond platinumz The G.O.AT in East Africa), rayvanny (the one and only BET winner in East Africa)and zuchu(Best female artist in East Africa) kuwa nominated as consideration kwenye tuzo za Grammy zitakazo kuja kufanyika mwaka 2021.

1.Diamond platinumz the G. O. A. T ameingiza Jeje(Best video)&Baba lao(best video).

2.Rayvanny(Beat album flowers).

3.Zuchu(Best new comer).

N. B:Hakuna msanii Africa mashariki ambaye amesha wahi kufikia hiyo hatua, so chondchonde narudia tena chondchonde Diamond asilinganishwe na wasanii wazee na maunder grounds.

pia, hakuna album iliyofikia mafanikio Kama ya rayvanny, so naomba rayvanny album isifananishwe na utopolo fc.

Mwisho kabisa, akuna msanii wa kike ambaye Alisha fikia mafanikio kaka ya zuchu, so naomba zuchu asifananishwe na utopolo.

POVU KAFULIENI NGUO ZENYE KIWANGO CHA PHD, SGR na PHD.
unaelewa maana ya "for grammy consideration"?
 
Wenzao wa Nigeria wamekaza hadi SARS imekuwa abolished, akina wizkid, Davido na wenzao wakiwa frontline, huku wanajaza matumbo kuungana na watesi! Muda wa kuchuma ulipopanda, ccm unganeni muwapigie kura!
una uhakika Kama hawajapata chochote...? so kukaza kwao ni kwao na sisi tumewakazia Grammy so NGOMA draw[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ina maana hawa grammy hawajakielewa kabisa kizungu cha album yetu pendwa ya mmakonde?
 
Umekosea sana chief!! wahenga wana msemo unasema " Hujafa hujaumbika" lolote linaweza likakutokea ukapata kilema cha maisha!! usimnyoshee mtu kidole
fact kaka amekosea sana tena inabidi aombe radhi mapema, maana lissu mwenyewe akuomba yamkute so sad kufurahia matatizo ya mwenzako.
 
Back
Top Bottom