Hakuwepo Ila Mzimu Wake Ulikuwepo.Tuseme Ukweli Tu Huu Ni Wakati Wa Jamaa.Hata Fiesta Ilikuwa Imepoaa Utafikiri Watu Wamemwagiwa Maji Ya Baridi, CMG Wakifanya Hivi Miaka 2 Mfululizo Tunawasahau Kwenye Ulimwengu Wa Burudani.mbona kwenye fiesta diamond hakuwepo na Ruge bado yupo hai tu?
1/4Sasa tukifa nani ataangalia show?
1/4Sasa tukifa nani ataangalia show?
Kaka KuonaDiamond akianza kuandaa matamasha yake mwenyewe,Ruge atakufa kwa presha.
mkuu ulienda kwenye Fiesta?Hakuwepo Ila Mzimu Wake Ulikuwepo.Tuseme Ukweli Tu Huu Ni Wakati Wa Jamaa.Hata Fiesta Ilikuwa Imepoaa Utafikiri Watu Wamemwagiwa Maji Ya Baridi, CMG Wakifanya Hivi Miaka 2 Mfululizo Tunawasahau Kwenye Ulimwengu Wa Burudani.
Ndiomkuu ulienda kwenye Fiesta?
10-20 umeambiwa fiesta hyoJamaa hebu punguza hiko kiingilio aisee,huu usawa wa Magu kama watatumia sehemu yenye kuingiza watu wengi basi wafanye kati ya 10,000 - 20,000, labda kama wanatumia sehemu zile za watu special hiyo bei sawa.
Hapana aisee,inabidi iwe 50,80 na vip laki na nusu had 2Nashauri kiingilio kwa v.i.p iwe elfu 20 halafu kawaida elfu kumi
Urafik mzuri ni ule wa two way traffic, me nafikir huyu jamaa tumemchangia sana. Ni wakat sasa na yey kufanya show ya bure, japo hiyo moja tu ya mkesha. Ova..Naona Team nzima ya WCB imeamua kuja kufanya kitu cha tofauti hapa nchini katika Soko la Mziki! Nikipimia wingi wa mashabiki walio nao na wanavyokubarika naona hii inakuja kuwa zaidi ya Fiestaaa!!!
Ni mkesha wa X-Mass,tarehe 24/12/2016 vijana hao wanne wataliteka jiji la Dar na kumwaga burudani ya kufa mtuuuuuu!!! Bado haijajulikana wapi itafanyikia hapa dar na kiingilio kitakuwa shilingi ngapi ila vijana watakiwasha mbayaaaaaa!!! Hope tutaona Team nzima ya WCB ikifanya yao
Je ungeshauri kiingilio kiwe sh.ngapi na wapi ifaanyike?
Kwa kuwa uwanja wa Taifa haujaingiza mapato kwa mda mrefu toka simba na yanga zifungiwe kuutumia mimi ningeshauri hawa vijana wachukue Uwanja wa Taifa wautumie na kiingilio iwe 50000/= atleast uwanja unaweza tosha
Namba hazidanganyi tuanze kuandaa pesaa a.k.a Marundo ya siku hiyo! Je show ifanyike wapi?
Mmmh iyo sidhan kama inaweza tokea wenyewe wanajari hela tuUrafik mzuri ni ule wa two way traffic, me nafikir huyu jamaa tumemchangia sana. Ni wakat sasa na yey kufanya show ya bure, japo hiyo moja tu ya mkesha. Ova..
Safi sana umeenda kwenye show bila uwepo wa Diamond na Ruge kaingiza pesa.Ndio
Na hayo matimu ushuzi watajikuta wameingia watu 10 tu.Hapana aisee,inabidi iwe 50,80 na vip laki na nusu had 2
Venue iwe mlimani city au alike
Show iwe ya live band
Waiite wasafi night,wapige show wenyewe tu kutoka label yao
Kukiwa na waalikwa basi wawe wachache sana eapecially walioshirikiana nao kwenye collabo
Sasa ruge kaingiaje hapo. Mondi afanye show yake na ruge aandae yake, wote wanasaka mapesa. Tatizo team mondi mnapenda sana simba afanikiwe huku wengine wakididimia. Shame on you.
Raymond AlikuwepoSafi sana umeenda kwenye show bila uwepo wa Diamond na Ruge kaingiza pesa.
Kwani nimesema asipoenda fiesta? Bro mbona una umri mkubwa lakini hauelewi vitu vya umri mdogo.mbona kwenye fiesta diamond hakuwepo na Ruge bado yupo hai tu?