Naona Team nzima ya WCB imeamua kuja kufanya kitu cha tofauti hapa nchini katika Soko la Mziki! Nikipimia wingi wa mashabiki walio nao na wanavyokubarika naona hii inakuja kuwa zaidi ya Fiestaaa!!!
Ni mkesha wa X-Mass,tarehe 24/12/2016 vijana hao wanne wataliteka jiji la Dar na kumwaga burudani ya kufa mtuuuuuu!!! Bado haijajulikana wapi itafanyikia hapa dar na kiingilio kitakuwa shilingi ngapi ila vijana watakiwasha mbayaaaaaa!!! Hope tutaona Team nzima ya WCB ikifanya yao
Je ungeshauri kiingilio kiwe sh.ngapi na wapi ifaanyike?
Kwa kuwa uwanja wa Taifa haujaingiza mapato kwa mda mrefu toka simba na yanga zifungiwe kuutumia mimi ningeshauri hawa vijana wachukue Uwanja wa Taifa wautumie na kiingilio iwe 50000/= atleast uwanja unaweza tosha
Namba hazidanganyi tuanze kuandaa pesaa a.k.a Marundo ya siku hiyo! Je show ifanyike wapi?