Diamond platnumz, Rich Mavoko, Rayvanny, Harmonize live in Dar

Diamond platnumz, Rich Mavoko, Rayvanny, Harmonize live in Dar

Nashauri kiingilio kwa v.i.p iwe elfu 20 halafu kawaida elfu kumi
 
Hakuwepo Ila Mzimu Wake Ulikuwepo.Tuseme Ukweli Tu Huu Ni Wakati Wa Jamaa.Hata Fiesta Ilikuwa Imepoaa Utafikiri Watu Wamemwagiwa Maji Ya Baridi, CMG Wakifanya Hivi Miaka 2 Mfululizo Tunawasahau Kwenye Ulimwengu Wa Burudani.
mkuu ulienda kwenye Fiesta?
 
Dar live..halafu iwe usiku wa tarehe 25 kiingilio Tshs 10,000
 
Jamaa hebu punguza hiko kiingilio aisee,huu usawa wa Magu kama watatumia sehemu yenye kuingiza watu wengi basi wafanye kati ya 10,000 - 20,000, labda kama wanatumia sehemu zile za watu special hiyo bei sawa.
10-20 umeambiwa fiesta hyo
 
Nashauri kiingilio kwa v.i.p iwe elfu 20 halafu kawaida elfu kumi
Hapana aisee,inabidi iwe 50,80 na vip laki na nusu had 2
Venue iwe mlimani city au alike
Show iwe ya live band
Waiite wasafi night,wapige show wenyewe tu kutoka label yao
Kukiwa na waalikwa basi wawe wachache sana eapecially walioshirikiana nao kwenye collabo
 
Naona Team nzima ya WCB imeamua kuja kufanya kitu cha tofauti hapa nchini katika Soko la Mziki! Nikipimia wingi wa mashabiki walio nao na wanavyokubarika naona hii inakuja kuwa zaidi ya Fiestaaa!!!

Ni mkesha wa X-Mass,tarehe 24/12/2016 vijana hao wanne wataliteka jiji la Dar na kumwaga burudani ya kufa mtuuuuuu!!! Bado haijajulikana wapi itafanyikia hapa dar na kiingilio kitakuwa shilingi ngapi ila vijana watakiwasha mbayaaaaaa!!! Hope tutaona Team nzima ya WCB ikifanya yao

Je ungeshauri kiingilio kiwe sh.ngapi na wapi ifaanyike?

Kwa kuwa uwanja wa Taifa haujaingiza mapato kwa mda mrefu toka simba na yanga zifungiwe kuutumia mimi ningeshauri hawa vijana wachukue Uwanja wa Taifa wautumie na kiingilio iwe 50000/= atleast uwanja unaweza tosha

Namba hazidanganyi tuanze kuandaa pesaa a.k.a Marundo ya siku hiyo! Je show ifanyike wapi?
Urafik mzuri ni ule wa two way traffic, me nafikir huyu jamaa tumemchangia sana. Ni wakat sasa na yey kufanya show ya bure, japo hiyo moja tu ya mkesha. Ova..
 
Urafik mzuri ni ule wa two way traffic, me nafikir huyu jamaa tumemchangia sana. Ni wakat sasa na yey kufanya show ya bure, japo hiyo moja tu ya mkesha. Ova..
Mmmh iyo sidhan kama inaweza tokea wenyewe wanajari hela tu
 
Hapana aisee,inabidi iwe 50,80 na vip laki na nusu had 2
Venue iwe mlimani city au alike
Show iwe ya live band
Waiite wasafi night,wapige show wenyewe tu kutoka label yao
Kukiwa na waalikwa basi wawe wachache sana eapecially walioshirikiana nao kwenye collabo
Na hayo matimu ushuzi watajikuta wameingia watu 10 tu.
 
Sasa ruge kaingiaje hapo. Mondi afanye show yake na ruge aandae yake, wote wanasaka mapesa. Tatizo team mondi mnapenda sana simba afanikiwe huku wengine wakididimia. Shame on you.
 
Sasa ruge kaingiaje hapo. Mondi afanye show yake na ruge aandae yake, wote wanasaka mapesa. Tatizo team mondi mnapenda sana simba afanikiwe huku wengine wakididimia. Shame on you.

Wapi wamewashika mikono au kupiga brain za wengine ili wadidimie?

Haupendi watu wakifurahia muimbaji au?
 
Back
Top Bottom