sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Ivo eeeh nilikuwa sijui mwenzio kumbe nyotaaa,
Yes mamiiii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivo eeeh nilikuwa sijui mwenzio kumbe nyotaaa,
Mbona wasanii wakubwa wote wa Africa wapo south Africa kwani king ye sio msanii mkubwa hadi awe mbugani saizi?
Hahahaaaaa...
...maswal yanayowafanyaga watukane haya, kuwa makin!....0hooo!
ina maana timu pinzani hawajaiona hii sredi au?!' au ndio washakubali !' ..........
Mbona wasanii wakubwa wote wa Africa wapo south Africa kwani king ye sio msanii mkubwa hadi awe mbugani saizi?
Wapo bize na tembooo mbugani kuwalindaa
Mbona wasanii wakubwa wote wa Africa wapo south Africa kwani king ye sio msanii mkubwa hadi awe mbugani saizi?
Hahaaaa siunajua sikukuuu wagen wengi mbugani analinda tembo
King ni msanii mkongwe anayechipukia sio msanii mkubwa
Mbona wasanii wakubwa wote wa Africa wapo south Africa kwani king ye sio msanii mkubwa hadi awe mbugani saizi?
Sitaki kuamini pamoja na comment hii thread bado haijachafuka tu.
King ni msanii mkongwe anayechipukia sio msanii mkubwa
Hahaaaa kwani Ina nini comment yangu jamani
Huwezi kusema King yupo mbugani muda huu na ukaachwa hivi hivi. Yaani ikika kesho hawajakuquote nitaamini kweli wamesarenda.