Diamond Platnumz: Sasa kila anachogusa kinageuka almasi

Diamond Platnumz: Sasa kila anachogusa kinageuka almasi

Mbona wasanii wakubwa wote wa Africa wapo south Africa kwani king ye sio msanii mkubwa hadi awe mbugani saizi?

Hahahaaaaa...
...maswal yanayowafanyaga watukane haya, kuwa makin!....0hooo!
 
DIAMOND ni msanii ambaye kadri wanavyomuonesha kumchukia ndivyo anavyozidi kuwa juu
 
Huwezi kusema King yupo mbugani muda huu na ukaachwa hivi hivi. Yaani ikika kesho hawajakuquote nitaamini kweli wamesarenda.

Hahahaaaaa usiwachokoze bwana wenzio sikuizi wamekuwa wapolee
 
Hadi sasa performance ya diamond ndo imefunika. Huyu mtoto hatareeeee
 
Back
Top Bottom