Diamond Platnumz sasa wanamuita Sheikh Mansoor

Namba moja kwa Madale labda ila kwa Afrika Bado sanaaaaaa (kwa sauti ya Lava lava) [emoji1]
 
Una tatizo la afya ya akili kigagula nenda ukakanyage mafuta
Wee kidampaaa ndo Una tatizo, km akili yako unawaza kukanyaga mafuta, bas kazi unayooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeee
 
Duh huyo ukimsema boss wake anaweza kufanyia chochote mkuu
Ohooo

Ova
 
Back
Top Bottom