Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

nafikiri anaigiza kama vifutui flani ivi
Kabisa huyu diamond anapenda ku trend,,,yupo radhi kufanya lolote ilimradi atrend na kumbuka miaka ya nyuma kidogo kipindi hajafanikiwa sana kimziki aliwahi kuvua suruali jukwaani yeye na dancers wake wakabaki na viboxer tu ilimradi wa trend tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom