Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

Hizi ndo pigo zako?
Never! Nimependa tu kavaa kuendana na kazi yake walau kwa leo kapendeza.

Mi napenda mwanaume avae kistaarabu na kwa unadhifu, sio kwa namna hii nishapita hiyo stage.
 
Back
Top Bottom