Diamond Platnumz tumeshampoteza, hii ni "Point of No Return"

Hiyo peak aliyepo sasa, wenzake akina Mbaraka Mwinshee, TX Moshi Wiliam, Mzee Gurumo, akina Juma Nature walifikia.

Akumbushwe kurejea kwenye misingi yake

Kuna wakati Dunia haikupi nafasi ya Pili
 
Hizi ndo pigo zako?
Never! Nimependa tu kavaa kuendana na kazi yake walau kwa leo kapendeza.

Mi napenda mwanaume avae kistaarabu na kwa unadhifu, sio kwa namna hii nishapita hiyo stage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…