Diamond Platnumz, tusamehe Watanzania tumezoea kuitwa 'Kichwa cha mwendawazimu'

Diamond Platnumz, tusamehe Watanzania tumezoea kuitwa 'Kichwa cha mwendawazimu'

Hahahaha wabongo huwa hawapendi mtu uonyeshe tofauti katika nyanja mbalimbali za kimaisha..
 
Kijana usikate tamaa sisi waafrika ukifanikiwa kidogo tu utapigiwa majungu na fitina ili urudi ulikotoka. Piga kazi usimdharau mtu mh kila mtu na fanya yale yanayokuingizia pesa.

Mfano mzuri ikitokea kwenye familia umefanikiwa kidogo ndugu watakusema na kukuombea urudi ulikotoka ili mlingane. Kwenye mziki au ushindani wowote kuna mbinu za kila aina.

Ali Kiba anawatu wake na wewe unawatu wako kwa hiyo we piga kazi achana bifu. Siku zote ngozi nyeusi haipendi maendeleo tunaona jata wachezaji wa kimataifa huko ulaya wanaamini mpaka kuwangiwa na kufanya wahame kabisq afrika.

Usicheze na ngozi nyeusi cha msingi wewe jitahdi kumheshimu kila binadammu na kimbiza kazi zako kila siku usiku na mchana.

Nawapenda wote wanaofanikiwa bila roho ya korosho hata kama mimi sko kwenye level yao.
 
Katika hii ligi mshindi anjulikana ni nani live bila chenga.Afu hyo yakusema nasibu na ali wapatane afu wafanye collable so what.Nasib anajitosha,ali na usnitch wake ndo atafte collable some where.Kiba stress znamuuwa.
 
Hizi show za kupambana na Kiba angedouble his price vinginevyo asifanye kazi
 
Chibu wewe uko juu bwana, umathubutu na mafanikio yako ndio yanayowasumbua. Wewe mbele kwa mbele, "nabii hawezi kuwa na thamani kwake" Afrika una jina Chibu achana na mawazo ya hao wachovu!
 
mtu ana zambi kibao hafikirii kutubu diamond unamuomba msamaha kwenye mitandao na wakati ana account zake si umtumie direct. yaan mtu ukishavurugwa umevurugwa tu
 
mtu ana zambi kibao hafikirii kutubu diamond unamuomba msamaha kwenye mitandao na wakati ana account zake si umtumie direct. yaan mtu ukishavurugwa umevurugwa tu
kare ssebo..
 
dai anaweza kawafundisha wasanii mbali mbali kutoa video kwa kipindi hiki cha dijito coz mondi wa dijito na alikibi wa analojia hadi kaamua video ya mwana kuimbya chooni ndo kwanza video yake bora tangu haanze music.ni mondi ndiye alyemfanya alikiba kutoa vdeo yake ya mwana Kuogop Kupitwa Na Kiba Anajulikana Kwa Mgongo Wa Daiplatinumz.keep It Up Daimond Yes, You Can.
 
Wasalam wanaJF wenzangu,

Kwanza naomba ni declare interest kuwa mimi ni shabiki wa maendeleo katika nyanja zote. Lakini kwa leo nitazungumzia muziki wetu hapa nchini (Bongoflava). Lakini point yangu nitaielekeza haswa kwa mafahali wawili, yaani Diamond na Slikiba.
na nitachukua reference ya show ya Kiboko Yao iliyodhaminiwa na kampuni ya simu ya Tigo, iliyofanyika jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya leaders.

Ni ukweli usiofichika kwamba wasanii wote waliotumbuiza walijitaidi kwa kiwango kikubwa sana, hongera sana kwani kuna changes kubwa sana. Lakini kuna jambo halikuwa sawa katika show ile, alo ni kurushwa makopo stejini wakati Diamond akitumbuiza na hapo ndio hoja yangu inapojengeka.

Bila kuwachosha sana, Diamond ametuwakilisha Watanzania kwenye shoo nyingi za kimataifa, ni nyingi siwezi kuzitaja zote, mbona Wanigeria, Marekani, Canada, Germany, Rwanda, Burundi etc hawakumrushia makopo? Kwanini itokee nyumbani Tanzania? Ni wivu au chuki kiasi gani juu ya msanii huyu mwenye kuheshimika Afrika kwa sasa? Amewakosea Watanzania?

Natambua Watanzania wengi hatupendi kuona mtu anaendelea, tumezoea majungu, fitina, chuki, umbea, na wivu. Jamani tubadilikeni. Maskini ya mungu Diamond huna ugomvi nae unamchukia kwanini? Au alikikiba hata hujawai kumuona unamchukia kakukosea nini?

Nimetafakari nikagundua ndio mana tuko nyuma in everything. Nenda Kenya and see how Jaguar anathaminiwa nchini mwao, Go Uganda and see how Jose Chamilione is respected. Hivi vitu vya team ujinga in negative way ni ushamba uliopita kiwango, inatakiwa team in constructive way.

Tunaomba Alikiba na Daimond washirikiane kuendeleza muziki wetu na kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Samahanini kwa kuwachosha. Asanteni kwa kunisoma.

Nawasilisha

Alikiba ni mbwa hawezi jilinganisha na diamond
 
nmecheka sana " kwani kulaani lazima jaman sio kosa kisheria. daimond anafanya vizur sana tatizo nyota. maringo na dharau ndio maana vijana wahun wanamchukia yawezekana kiba hahusiki pia kumbuka kuna maadui wengi ambao dai aliokuwa nayo kwenye mahusiano walivyo achana ndo kuwadhalilisha pia hili mliangalie

hao maadaui wanakuja tu kuzomea akipiga show ma kiba? tumeshuhudia show mbili za coco na darlive sikushuhudia makopo ila wakikutana na Kiba haya mambo yanatokea
 
Wasalam wanaJF wenzangu,

Kwanza naomba ni declare interest kuwa mimi ni shabiki wa maendeleo katika nyanja zote. Lakini kwa leo nitazungumzia muziki wetu hapa nchini (Bongoflava). Lakini point yangu nitaielekeza haswa kwa mafahali wawili, yaani Diamond na Slikiba.
na nitachukua reference ya show ya Kiboko Yao iliyodhaminiwa na kampuni ya simu ya Tigo, iliyofanyika jumamosi iliyopita kwenye viwanja vya leaders.

Ni ukweli usiofichika kwamba wasanii wote waliotumbuiza walijitaidi kwa kiwango kikubwa sana, hongera sana kwani kuna changes kubwa sana. Lakini kuna jambo halikuwa sawa katika show ile, alo ni kurushwa makopo stejini wakati Diamond akitumbuiza na hapo ndio hoja yangu inapojengeka.

Bila kuwachosha sana, Diamond ametuwakilisha Watanzania kwenye shoo nyingi za kimataifa, ni nyingi siwezi kuzitaja zote, mbona Wanigeria, Marekani, Canada, Germany, Rwanda, Burundi etc hawakumrushia makopo? Kwanini itokee nyumbani Tanzania? Ni wivu au chuki kiasi gani juu ya msanii huyu mwenye kuheshimika Afrika kwa sasa? Amewakosea Watanzania?

Natambua Watanzania wengi hatupendi kuona mtu anaendelea, tumezoea majungu, fitina, chuki, umbea, na wivu. Jamani tubadilikeni. Maskini ya mungu Diamond huna ugomvi nae unamchukia kwanini? Au alikikiba hata hujawai kumuona unamchukia kakukosea nini?

Nimetafakari nikagundua ndio mana tuko nyuma in everything. Nenda Kenya and see how Jaguar anathaminiwa nchini mwao, Go Uganda and see how Jose Chamilione is respected. Hivi vitu vya team ujinga in negative way ni ushamba uliopita kiwango, inatakiwa team in constructive way.

Tunaomba Alikiba na Daimond washirikiane kuendeleza muziki wetu na kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Samahanini kwa kuwachosha. Asanteni kwa kunisoma.

Nawasilisha

Kaka umesomeka vizuri, hakika una chembechembe za uzalendo. Tunao watanzania wenzetu ambao wanaishi kwa kufuata mkumbo, ndio wanaoshabikia haya.
Chibu wasamehe !
 
Back
Top Bottom