Diamond Platnumz usibabaishwe na tuzo za BET kwasababu soko la mziki Marekani limeanguka na Wasanii wake hawana mashiko kwa sasa

Nilikuwa najiuliza hili swali,je mziki wa marekani vip ndo umekufa maan hata kwenye bar sio sana kama kipindi kile,hivi ni nani mwenye hitsong ya USA aweke hapa,au ni uzee
 
Ni kweli bro
 
Nilikuwa najiuliza hili swali,je mziki wa marekani vip ndo umekufa maan hata kwenye bar sio sana kama kipindi kile,hivi ni nani mwenye hitsong ya USA aweke hapa,au ni uzee
Kizazi cha akina Lil Wayne baada ya kuondoka kilichofuata ni kivivu, hakijitumi wala hakina vipaji. Ni kizazi cha wanafunzi wa chuo ambacho hakikuwa kinasomea mziki baada ya kuinamishwa na maisha kikakimbilia kwenye muziki kutupigia kelele
Nimetazama BET Awards 2024 ni mavi matupu
 
Ukweli usemwe hata hao wa zamani sio wote walikuwa na radha ya kusikilizika,ni vile tulikosa mbadala wa kushindanishwa nao hapa nyumbani africa.
Unafungua tv za bongo muda wote wanapiga nyimbo za mbele unajikuta umezama tu kama ajali.

Kwa sasa africa tuna namna yetu ambayo naona wazungu nao wanaionja wanaingia ktk mfumo,nilikuwa nikisikia 02 imejaa nadhani ni weusi pekee,juzi burna kajaza na wazungu kibao wanaimba naye.

Mziki mzuri una lugha yake.
 
Haswaa
 
Tatizo kiingereza tu acha porojo. Ndugu Almasi kuimba Kwa kiingereza hajui. Kuongea kwenyewe ndiyo vile tena wanna, gonna, trynaaa, outta nyiiingi katumia kivuli cha kuficha ubovu wake wa Lugha kwenye American English. Angalia alivyokuwa anaongea Insta Live na Rick Ross anaulizwa hiki anajibu hiki.. au Alivyokuwa Marekani wakati anaongea na Snoop Doggy.. Kiafrika na kibongo bongo Almasi Yupo Juu!
 
Nilikuwa najiuliza hili swali,je mziki wa marekani vip ndo umekufa maan hata kwenye bar sio sana kama kipindi kile,hivi ni nani mwenye hitsong ya USA aweke hapa,au ni uzee
uhuru tech Mr Why

mziki wa marekani sahivi sijui umekuaje, achana na old-school song nzuri za kina Boyz to men, r Kelly, Lionel Richie, Michael Jackson, Nelly wa dillema, destiny child,

Kuanzia 2008-2014 kulikuwa na hit songs toka kina
rihana rude boy,
Bruno Mars grenade,
Jenifer Lopez on the floor,
International love pitbull ft Chris brown
Akon,
Chris brown hit songs k.v loyal
usher Raymond dj got us fall in love, will I am omg,
Adam Levine stereo hearts & move like jagger
airplane bob &hayley,
Justin Bieber baby
wimbo wa price tag Jessie j,
carley jespsen call me maybe,
Jay z forever young
Sean Kingston beautiful girls
Niki minaj hit songs
Pitbull ft mark Anthony rain over me

Kina ice spice sijui wanaimba nini sahiv, eti you think you're the shit, you're not even a fart 😂
 
Mngemwambia mapema asihangaike na yuesiei kabla hajakutana na pididi,,,,,sahivi mlishachelewa
 
Yule kijana tunaweza kumfundisha. Hili sio tatizo
 
Ungetazama BET Awards 2024 ungetapika. Ujinga mtupu ulifanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…