Diamond Platnumz usibabaishwe na tuzo za BET kwasababu soko la mziki Marekani limeanguka na Wasanii wake hawana mashiko kwa sasa

Hujui mziki halafu hata lugha hujui ndio maana unasema wanapiga kelele
Nimesomea lugha tatu Kiswahili, Kiingereza na Kifaransa na ni mwalimu wa lugha hizi chuo kikuu nitashangaa sana kuambiwa sifahamu lugha hizi ndogo kwangu kama kucha zako kijana
 
Muziki wa Marekani bado uko juu Sana kuliko nchi yeyote hapa Duniani.
Kama unahisi nadanganya hebu nenda YouTube ukaangalie views za nyimbo za wasanii wa kimarekani
 
Kizazi chao cha sasa hakina vipaji kama cha Rihanna
 
Back
Top Bottom