Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
- Thread starter
- #41
Nimesomea lugha tatu Kiswahili, Kiingereza na Kifaransa na ni mwalimu wa lugha hizi chuo kikuu nitashangaa sana kuambiwa sifahamu lugha hizi ndogo kwangu kama kucha zako kijanaHujui mziki halafu hata lugha hujui ndio maana unasema wanapiga kelele