Diamond Platnumz visiting kids at school in Nairobi

Diamond Platnumz visiting kids at school in Nairobi

wanafunzo watoto hawajui kiswahili???? ndani ya kenya???? kwani wafikiri huku ni sudan nini? inakaa umedanganywa sana kuhusu kenya. itakuaje habari za saa moja jioni znasomwa kwa kiswahili na stesheni zote za tv nchi nzima kama wakenya hawaelewi kiswahili?

CCM ni number One!
 
Kiswahili kiliasisiwa Kenya lini na Diamond alianza kuimba lini? Waaandishi tajika kama Ken walibora ambao ni wananchi wazalendao wa Kenya wakiandika riwaya huyo Diamond alikuwa ashaa anza kuimba kweli?. Pia kuna ile Lugha ya mtaa, hapo ndio huwa sheng inatokea sasa. Tukisema 'hakunaga, kujaga, pitiaga' nk. haimaanishi huwa hatuelewe lugha mwafaka ya kutumia.


CCM Number One!
 
ila number 1 remix... ndio nyimbo kali kuliko zote kuwahi kuimbwa na msanii wa tanzania.. kuanzia kina njenje enzi hizo mpaka kina lady jaydee na prof jay...

hakuna msanii aliyowai kuimba nyimbo kali na iliyotingisha africa kama number 1 ya diamond platnumz
Na ndo mana ikaitwa number 1
Sio nyimbo unaiita majanga unadhani itahit

Sema diamond akiimba kwa mashauzi ndio nyimbo zinapendeza. Ndo mana anazidi kutusua
 
Back
Top Bottom