Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Mkuu Fem ya OBO ilifikisha 1M kwa masaa7,,fuatilia ulete Mrejesho..Waaaah
 
Sasa wangapi wamefanya collabo na bado ngoma haitoboi? [emoji1] Hebu toa pongezi acha chuki
😂😂😂 collabo sio kigezo, Hebu mwsmbie huyo jamaa akolabo na yeyote duniani tuone. Yaani Yanga ikolabo na Messi kisha icheze na Bayern Munich kipigo kwa Yanga kipo palepale
 
pesa mbaya sana dogo naona sasa anaelekeza kibra hata wale vigogo wa muziki afrika
 
Asije akalala usingizi wa mang'amung'amu na mandoto kibao ya kutisha aka mandoto ya jinamizi kwa sababu ya msongo wa mawazo unaoletwa na chuki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] collabo sio kigezo, Hebu mwsmbie huyo jamaa akolabo na yeyote duniani tuone. Yaani Yanga ikolabo na Messi kisha icheze na Bayern Munich kipigo kwa Yanga kipo palepale
[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Mkuu Fem ya OBO ilifikisha 1M kwa masaa7,,fuatilia ulete Mrejesho..Waaaah
Sio kweli fem ilifikisha 1M ndani ya saa 9 acha uzushi

Na ikafika 1.8m ndani ya saa 22 wakati Waah ndani ya sa 13 tu ina 2M views...vip niendelee ?
 
Mkuu hebu funguka hapo kwa kendrick lamar.
 
Bro sema2 natumia Free basics inazingua ku'apload attachment,, Ebu kasome kwenye tovuti ya NewscentralAfrica iliyoandikwa na Samagbeyi Afolasade then uje tena
 
Bro sema2 natumia Free basics inazingua ku'apload attachment,, Ebu kasome kwenye tovuti ya NewscentralAfrica iliyoandikwa na Samagbeyi Afolasade then uje tena
 
Tanzania mwenzako huyo kwa ukimsifia kwa matokeo yake mazuri utakufa? Au ndo mko kwenye field ya uchawi

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Bro sema2 natumia Free basics inazingua ku'apload attachment,, Ebu kasome kwenye tovuti ya NewscentralAfrica iliyoandikwa na Samagbeyi Afolasade then uje tena
Link zote zingine zinasema ni masaa 9..hao news central peke yao ndo wanasema less than 7 hrs kitu ambacho sio cha kweli..hebu soma post tofaut tofaut kuhusu records ya fem..ni masaa 9 nasio 7 kama news central wasemavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…