Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 collabo sio kigezo, Hebu mwsmbie huyo jamaa akolabo na yeyote duniani tuone. Yaani Yanga ikolabo na Messi kisha icheze na Bayern Munich kipigo kwa Yanga kipo palepaleSasa wangapi wamefanya collabo na bado ngoma haitoboi? [emoji1] Hebu toa pongezi acha chuki
Asije akalala usingizi wa mang'amung'amu na mandoto kibao ya kutisha aka mandoto ya jinamizi kwa sababu ya msongo wa mawazo unaoletwa na chuki.Sasa innos mbna alitoa original na haikwenda kama remix? Na kama koffi ndio upepo Mbna koffi mwenyew hajaweka hiyo record peke yake? Basi na wengne wafanye kaz na innos na koffi tuone kama wataweza weka record..acha chuki bro..toa pongezi ulale usingzi mzur [emoji3]
Kisa kumchukia simba[emoji3][emoji1787]Asije akalala usingizi wa mang'amung'amu na mandoto kibao ya kutisha aka mandoto ya jinamizi kwa sababu ya msongo wa mawazo unaoletwa na chuki.
[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23] collabo sio kigezo, Hebu mwsmbie huyo jamaa akolabo na yeyote duniani tuone. Yaani Yanga ikolabo na Messi kisha icheze na Bayern Munich kipigo kwa Yanga kipo palepale
Kabisa..ila kuna vichwa bado havielewiJamaa bongoland kashindikana
Sio kweli fem ilifikisha 1M ndani ya saa 9 acha uzushiMkuu Fem ya OBO ilifikisha 1M kwa masaa7,,fuatilia ulete Mrejesho..Waaaah
ab-tc.com
Mkuu hebu funguka hapo kwa kendrick lamar.Ingekuwa spotify mpaka kwa streams 2M angekuwa amelaba $4,370 zaidi ya milion kumi hizo. Ila hata hivyo hata mbele unakuta wasanii wana viewers hata milion 200 mpaka bilion Youtube na siyo streams za spotify wala itunes kwakuwa kila sehemu watu wanapenda mteremko. Siyo Tanzania tu wasanii wanapokumbana na changamoto hizi tu hata mbele wasanii wanaibiwa sana. Just imagine unakuta unakuta album inaleak kabla ya kuachiwa, mfano kilichomtokea Kendrik Lamar
Truck 3 zilizokuwa kwenye album yake zilileak mtandaoni kabla hajaziachiaMkuu hebu funguka hapo kwa kendrick lamar.
Sio kweli fem ilifikisha 1M ndani ya saa 9 acha uzushi
Davido’s “FEM” Song Hits Over A Million Views In Just 9 Hours On Youtube
Advertisement Nigerian Music star, Davido came back on social media with a hot banger. This was after over 4 months break from social media, he released a single which is believed to be a diss song to Burna Boy, the African music giant. He took to his Instagram page to release visuals of “fem”ab-tc.com
Na ikafika 1.8m ndani ya saa 22 wakati Waah ndani ya sa 13 tu ina 2M views...vip niendelee ?
Sio kweli fem ilifikisha 1M ndani ya saa 9 acha uzushi
Davido’s “FEM” Song Hits Over A Million Views In Just 9 Hours On Youtube
Advertisement Nigerian Music star, Davido came back on social media with a hot banger. This was after over 4 months break from social media, he released a single which is believed to be a diss song to Burna Boy, the African music giant. He took to his Instagram page to release visuals of “fem”ab-tc.com
Na ikafika 1.8m ndani ya saa 22 wakati Waah ndani ya sa 13 tu ina 2M views...vip niendelee ?
Aiseee...kumbe tabu zipo kila mahali...Truck 3 zilizokuwa kwenye album yake zilileak mtandaoni kabla hajaziachia
Mbona nyimbo zao zinavuja kila siku mkuu tabu ziko pale pale, we ukitaka kujua hilo jiulize movie imetoka haina hata week kitu kiko torrents sites unakipakua bure.Aiseee...kumbe tabu zipo kila mahali...
Tanzania mwenzako huyo kwa ukimsifia kwa matokeo yake mazuri utakufa? Au ndo mko kwenye field ya uchawiDiamond ni mjanja mjanja tu wa kuteleza kwenye kolabo msisahau kofee Ana mashabiki wengi bongo diamond anajitahidi lakini bado hajafika level za kina davido na wizkid hawafanyi kazi kiujanja janja kwa kubebwa na kolabo halafu hawa jamaa karibu afrika nzima wakiandaa show wanajaza sina kumbukumbu diamond alisha andaa show yake Nigeria au south afrika
Link zote zingine zinasema ni masaa 9..hao news central peke yao ndo wanasema less than 7 hrs kitu ambacho sio cha kweli..hebu soma post tofaut tofaut kuhusu records ya fem..ni masaa 9 nasio 7 kama news central wasemavyoBro sema2 natumia Free basics inazingua ku'apload attachment,, Ebu kasome kwenye tovuti ya NewscentralAfrica iliyoandikwa na Samagbeyi Afolasade then uje tena