Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Ni ngumu sana kuzuia uharamia aiseee...Mbona nyimbo zao zinavuja kila siku mkuu tabu ziko pale pale, we ukitaka kujua hilo jiulize movie imetoka haina hata week kitu kiko torrents sites unakipakua bure.
Aaah nimekupata DingiiLink zote zingine zinasema ni masaa 9..hao news central peke yao ndo wanasema less than 7 hrs kitu ambacho sio cha kweli..hebu soma post tofaut tofaut kuhusu records ya fem..ni masaa 9 nasio 7 kama news central wasemavyo
Hii trick ishakua outdated sana, alafu sio kila anapotajwa diamond ni lazima uchomekee habari za kiba ili uonekane una chakuongeaYooo hapendi kujioyesha alishapataga viewers M6 kwa nusu saa! Ila akawaambia YouTube wakaushe waweke viewers wachache tu
Waeleze hao kazi kukaza mishipa ya shingo.Hii trick ishakua outdated sana, alafu sio kila anapotajwa diamond ni lazima uchomekee habari za kiba ili uonekane una chakuongea
We achana na mambo ya kitaa. Kwanza unaishi kijiji gani hicho kisichoitambua ngoma hii?Ngoma mbovu ananunua views mbona mambo yapo waz na ngoma hata kitaa haijavuma
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Nani wanaoshoboka na wasanii wetu hawa siku hizi wameimba nyimbo za kututukana kipindi cha kampeni imewakost sana ata kuandaa matamasha yaoTanzania mwenzako huyo kwa ukimsifia kwa matokeo yake mazuri utakufa? Au ndo mko kwenye field ya uchawi
Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
ungeongelea hii afazali imetulia
hii ngoma kiwango cha fly over🤗🤗Habarini.
Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.
Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.
Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
Mbona papaa yeye mwenyew hana Ngoma iliyovunja hiyo record? Pigeni nyie colabo na mopao kama ngoma itatoboaBila papaa isingefika m3
Ipo siku watakubali tu kuwa jamàa anawezaKabisa..ila kuna vichwa bado havielewi