Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Link zote zingine zinasema ni masaa 9..hao news central peke yao ndo wanasema less than 7 hrs kitu ambacho sio cha kweli..hebu soma post tofaut tofaut kuhusu records ya fem..ni masaa 9 nasio 7 kama news central wasemavyo
Aaah nimekupata Dingii
 
Yooo hapendi kujioyesha alishapataga viewers M6 kwa nusu saa! Ila akawaambia YouTube wakaushe waweke viewers wachache tu
Hii trick ishakua outdated sana, alafu sio kila anapotajwa diamond ni lazima uchomekee habari za kiba ili uonekane una chakuongea
 
Hii trick ishakua outdated sana, alafu sio kila anapotajwa diamond ni lazima uchomekee habari za kiba ili uonekane una chakuongea
Waeleze hao kazi kukaza mishipa ya shingo.
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri

hii ngoma kiwango cha fly over🤗🤗
 
angemkuta Papaa Mopao enzi zake yuko kwenye peak na yale madharau yake ya kikongo, asingekubali kufanya hio collab , ashukuru papaa amechoka, hata kibeku alikuwa ungo
 
Diamond platinum ndio msanii wa kwanza Tanzania kufikisha viewers 2.3M ndani ya Masaa machache(21 hours) katika platform ya youtube kupitia wimbo wake wa waah!!, wimbo wake howa Diamond Amemshirikisha msanii wa nchi ya Congo ajulikanae kwa jina la Koffi Olamide.
IMG_m7sdj2.jpg
 
angemkuta Papaa Mopao enzi zake yuko kwenye peak na yale madharau yake ya kikongo, asingekubali kufanya hio collab , ashukuru papaa amechoka, hata kibeku alikuwa ungo
 
Back
Top Bottom