Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Mopao ni businessman....masaa 15 yaliyopita kaachia mchuma mpya.."Danse ya ba Congolois"....akitumia kionjo chake cha "BIYO..BIYO..NGANGASHUU..BOSS YA MBOKA"
Nimeiona hiyo. Ina siku 3 mpaka sasa watazamaji laki tano na elfu 34. Wakati huohuo hii waliyoimba na domo ina siku moja na watazamaji milioni nne. Koffi kajifunika.

Kuhusu kutaja majina ni desturi yake tangu anaanza muziki. Sikiliza wimbo wa Loi na nyingine za miaka hiyo alikuwa anaongea sana kuliko kuimba.
 
Asa kwann koffi aimbe verse ambayo kashaitumia sana kwenye ngoma zake??
 
I'm not a fan but he deserve credit, that is huge
 
Ana juhudi sana huyu jamaa. Na mpaka muda huu naandika hapa ikiwa video haijafikisha masaa 48 tayari imeangaliwa na watu 4.1 milioni.
 
miundo mbinu ya congo na lifestyle la kule hawana amsha amsha ya kwndana na trends thats why ni ngumu sana kukuta nyimbo zao zimevuka 40M viewers....tofauti na sisi bongo......
 
Ndio shida ya mods kua team pinzani...uzi wangu ulikua unahusu Simba kuweka record mpya..wao wakaunga pamoja na uzi unaongelea hiyo ngoma ilivyo nzuri...mods kaona ile record iliyowekwa isisikike...[emoji1787][emoji1787] Maxence Melo mkuu naomba uzi wangu usichanganywe na huu..mmearibu kila kitu hadi comments zinaingiliana kwanini lakin?
 
Hata Kiba anaweza hivyo,sema tu hapendi show off!
 
Dah....TZ yote 'kusimama'...! Kwa kipi hasa! Umenikumbusha wakati Yanga wamepanga kumtangaza Senzo kulitoka kauli hii 'Nchi inaenda kusimama' .
We Li TZ lote hili unaweza vipi kulisimamisha..! Wapo wengi tu ambao wala hawamjui huyo Diamond...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…