Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Kuna watu walitegemewa watajibiwa na nyimbo zao naona Mondi kapiga kimya kawakwepa.

Mondi ni mfanya biashara,ukizingatia sasa hivi ana utitiri wa show ktk nchi za francophone countries,kaachia nyimbo ambayo inaendana na nchi hizo.
 
Kutafunia na tangawizi naweza lakini haitabadili ukweli kwamba utakuwa umeshatarisha ustawi wa jamii kwa kutoa maoni hatarishi.
Sasa unafkr itakuaje mkuu... tufanye ajali kazin tu hiyo
 
Here’s the original version, usiishie copy tu... enjoy.

Kwani nani hajui hilo sebene ? Ndio ukaenda kusaka mpaka link man wangu [emoji3]...jamaa kupita na hiko kipande hakufany nyimbo kua mbovu..ndio kazid kutisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…