Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo mwisho wa uwezo wake.Sijawahi kuuelewa mziki wa aina hii hata siku moja,dogo fanya kolabo na akina drake,chris brown,rihanna etc achana na hao wakata viuno..
Hawa jamaa wote uwa wako vizuri. Lakini sijui kumetokea nini hadi wakatoa wimbo wenye kiwango cha chini kiasi hiki. Unaweza kuwazia jamaa alitoka huko kwao Congo kwa ishu nyingine pengine haramu na watumia kisingizio cha kwamba anakuja kufanya kolabo ya wimbo.KWA MIKWARA YOTE ILE sikutarajia ngoma mbovu kama hii
Wakija hapa watakwambia USHAMBA na MEDIOCRE ni hit songs za muda wote Africa 😂😂wimbo ni mzuri, ila ule 'acha ushamba' hata kwa wale mashabiki wake, hawajaufurahia moyoni kabisa
yani kama yameshikiwa akili vilee, sasa hivi mashabiki wa kiba100 wamehamia kwa konde kujifariji.Wakija hapa watakwambia USHAMBA na MEDIOCRE ni hit songs za muda wote Africa 😂😂
Na wengine wanatafuta sababu ya kuanza kuishabikia WASAFI MEDIA,baada ya kuona anguko la clouds haliko mbali.Wao wanakwambia wanaishabikia Wasafi media kwasababu ni ya Joseph Kusaga,kwahiyo nayo ni clouds tu😂😂.yani kama yameshikiwa akili vilee, sasa hivi mashabiki wa kiba100 wamehamia kwa konde kujifariji.
wanatafuta furaha ya maishaNa wengine wanatafuta sababu ya kuanza kuishabikia WASAFI MEDIA,baada ya kuona anguko la clouds haliko mbali.Wao wanakwambia wanaishabikia Wasafi media kwasababu ni ya Joseph Kusaga,kwahiyo nayo ni clouds tu😂😂.
Habarini.
Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.
Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.
Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
Kwa hiyo mzee Mopao kakalishwa na kijana wa MadaleNachagua kuwa kinega, hamna kitu pale... Mopao kapaste verse yote na melody ya wimbo wake papaa ngwasuma!
Siwezi kumpa shikamoo mdogo wangu yule,hata kama yupo juu Kwa mikwanja na umaarufuHabarini.
Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.
Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.
Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
Kasha kua mtu wa remixes end of an eraRemix aliyofanya na Ennos B na ule wa Inama aliofanya na Falii ni mara tatu kwa ubora kwa wimbo huu.
Labda sijausikia vizuri, lakini ni wimbo wa kawaida, utakuzwa na majina na promo.
Wewe ulitaka usikie kitu gani wakati ngoma Ni yakuchezekaTofauti na kutaja majina sijasikia kitu cha maana