Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Mjerumani nafikiri [emoji16][emoji16]

Anazingua, kiingereza chenyewe anaandika broken.

Kama ana followers kutoka nje anasababisha tuonekane wote ni kama yeye.

I wish awe na watu wanao manage mitandao yake.
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri

Halikua wazo zuri kufanya feat na Koffi Olomide. Jamaa si mtu mzuri anajufanya unasahaulika kwenye wimbo wako mwenyewe na hata wakati unsimba wanakua wanasubiri umalize upesi ili aingie Koffi Olomide na aendelee bila kuishiwa hamu ya kumsikiliza.
 
kama wimbo wa "prakatumba, apapapapa apapapapa" ushawahi kukubamba na uliukubali vibaya mno afu huu unauponda eti hujasikia chochote zaidi ya majina, basi wewe tukusaidie kukuongezea kamtaji kidogo umalizie kununua vifaa maana UCHAWI unakufaa zaidi...
 
SMH!!! Shabiki mkubwa wa Mond lakini Koffi kani disappoint sana, yani katoka Congo kuja Tz kwaajili ya kusample ngoma aliyoshirikishwa??? Anyways kama mwenye wimbo mwenyew kamuacha mm ni nani nihoji

Kweli mkui unatambua mziki salute kwako,,, na Mimi niliwaza hivyo kidogo koffi kateleza kufanya sample hapo.
 
kama wimbo wa "prakatumba, apapapapa apapapapa" ushawahi kukubamba na uliukubali vibaya mno afu huu unauponda eti hujasikia chochote zaidi ya majina, basi wewe tukusaidie kukuongezea kamtaji kidogo umalizie kununua vifaa maana UCHAWI unakufaa zaidi...
Huyo koffi basi ni mtu wa kuimba saana,ni nyimbo chache huwa anaimba saana,yeye anaingiaga na list ya majina yake akina mose katumbi n.k

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Kila mtu na masikio yake, kwangu ngoma mbovu.. Koffie hakuna alichokifanya mkongwe huyu, ni km ile collabo na cristian bella, sijui huwa wanamforce.

Wala hajihangaishi kuumiza kichwa.
 
Huyo koffi basi ni mtu wa kuimba saana,ni nyimbo chache huwa anaimba saana,yeye anaingiaga na list ya majina yake akina mose katumbi n.k

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
Mopao ni businessman....masaa 15 yaliyopita kaachia mchuma mpya.."Danse ya ba Congolois"....akitumia kionjo chake cha "BIYO..BIYO..NGANGASHUU..BOSS YA MBOKA"
 
Back
Top Bottom