Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You tube ukipata views million 11 unalipwa million 3 T.shilling.Hizi record tungeziweka kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,mdundo,Boombplay,audiomack nk wasanii wangekuwa matajiri.Tatizo wabongo tunapenda kuseleleka Youtube video ,audio kwa kidebwoy.
Hongera Chibu kwa kuendelea na tabia yako ya kufanya vizuri.
Kitonga kwa kwenda mbele kama maccm yanavyopenda kitafuta umaarufu kupitia ChademaHizi record tungeziweka kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,mdundo,Boombplay,audiomack nk wasanii wangekuwa matajiri.Tatizo wabongo tunapenda kuseleleka Youtube video ,audio kwa kidebwoy.
Hongera Chibu kwa kuendelea na tabia yako ya kufanya vizuri.
According to AT 1 mil unapata 600$,ila sio SI units inategemea na umaarufu wa account yako na contents zako zinatizamwa na nchi ngapi.You tube ukipata views million 11 unalipwa million 3 T.shilling.
YouTube ni zaidi ya pesa...kwanz ni kujitangaza...pesa inafuataYou tube ukipata views million 11 unalipwa million 3 T.shilling.
Sasa wangapi wamefanya collabo na bado ngoma haitoboi? [emoji1] Hebu toa pongezi acha chukiMpaka afanye collabo ndio anavunja record, akitoa ngoma yeye kama yeye kimyaaaaa.
Hawataki kusubri [emoji1]Wanaomchukia huyu jamaa inabidi wasubiri sana.
Mada ni Mondi lakini,Sasa wangapi wamefanya collabo na bado ngoma haitoboi? [emoji1] Hebu toa pongezi acha chuki
Sasa innos mbna alitoa original na haikwenda kama remix? Na kama koffi ndio upepo Mbna koffi mwenyew hajaweka hiyo record peke yake? Basi na wengne wafanye kaz na innos na koffi tuone kama wataweza weka record..acha chuki bro..toa pongezi ulale usingzi mzur [emoji3]Mada ni Mondi lakini,
Kachekecha akili weee kaona atembelee upepo wa Koffie kama alivyotembelea upepo wa Innos,
Lol.
Kwani Mondi kwa viwango vya kibongo sio tajiri!??Hizi record tungeziweka kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,mdundo,Boombplay,audiomack nk wasanii wangekuwa matajiri.Tatizo wabongo tunapenda kuseleleka Youtube video ,audio kwa kidebwoy.
Hongera Chibu kwa kuendelea na tabia yako ya kufanya vizuri.
Ni kweli kabisa!!Mpaka afanye collabo ndio anavunja record, akitoa ngoma yeye kama yeye kimyaaaaa.
Ni tajiri ila still bado tunawaibia wasanii kwa kupenda kuseleleka,kwani hizo platforms zina hela ndefu kuliko Youtube.Kwani Mondi kwa viwango vya kibongo sio tajiri!??