Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Hizi record tungeziweka kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,mdundo,Boombplay,audiomack nk wasanii wangekuwa matajiri.Tatizo wabongo tunapenda kuseleleka Youtube video ,audio kwa kidebwoy.

Hongera Chibu kwa kuendelea na tabia yako ya kufanya vizuri.
 
You tube ukipata views million 11 unalipwa million 3 T.shilling.
 
Hizi record tungeziweka kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,mdundo,Boombplay,audiomack nk wasanii wangekuwa matajiri.Tatizo wabongo tunapenda kuseleleka Youtube video ,audio kwa kidebwoy.

Hongera Chibu kwa kuendelea na tabia yako ya kufanya vizuri.
Kitonga kwa kwenda mbele kama maccm yanavyopenda kitafuta umaarufu kupitia Chadema
 
Mada ni Mondi lakini,
Kachekecha akili weee kaona atembelee upepo wa Koffie kama alivyotembelea upepo wa Innos,
Lol.
Sasa innos mbna alitoa original na haikwenda kama remix? Na kama koffi ndio upepo Mbna koffi mwenyew hajaweka hiyo record peke yake? Basi na wengne wafanye kaz na innos na koffi tuone kama wataweza weka record..acha chuki bro..toa pongezi ulale usingzi mzur [emoji3]
 
Hizi record tungeziweka kwenye ITunes,Sportfy,Tidal,mdundo,Boombplay,audiomack nk wasanii wangekuwa matajiri.Tatizo wabongo tunapenda kuseleleka Youtube video ,audio kwa kidebwoy.

Hongera Chibu kwa kuendelea na tabia yako ya kufanya vizuri.
Kwani Mondi kwa viwango vya kibongo sio tajiri!??
 
Back
Top Bottom