Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

Sema baadhi ya sehemu alivyoimba mondi wamemute vionjo vya muziki. Sehemu alizoimba olomide zina solo gitaa na flute baada ya solo kukata. Ila kwa mondi sanasana ni muted guitar na brass pekee.

Ila ngoma imebamba
 
KWA MIKWARA YOTE ILE sikutarajia ngoma mbovu kama hii
Hawa jamaa wote uwa wako vizuri. Lakini sijui kumetokea nini hadi wakatoa wimbo wenye kiwango cha chini kiasi hiki. Unaweza kuwazia jamaa alitoka huko kwao Congo kwa ishu nyingine pengine haramu na watumia kisingizio cha kwamba anakuja kufanya kolabo ya wimbo.
 
wimbo ni mzuri, ila ule 'acha ushamba' hata kwa wale mashabiki wake, hawajaufurahia moyoni kabisa
 
wimbo ni mzuri, ila ule 'acha ushamba' hata kwa wale mashabiki wake, hawajaufurahia moyoni kabisa
Wakija hapa watakwambia USHAMBA na MEDIOCRE ni hit songs za muda wote Africa 😂😂
 
yani kama yameshikiwa akili vilee, sasa hivi mashabiki wa kiba100 wamehamia kwa konde kujifariji.
Na wengine wanatafuta sababu ya kuanza kuishabikia WASAFI MEDIA,baada ya kuona anguko la clouds haliko mbali.Wao wanakwambia wanaishabikia Wasafi media kwasababu ni ya Joseph Kusaga,kwahiyo nayo ni clouds tu😂😂.
 
wanatafuta furaha ya maisha
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri

Safi kabisa usisahau kumwambia Baba yako na mama yako wamwamkie pia....
ni heshima
 
Kashapanic huyu jamaa.
Screenshot_20201126-192420.jpg
 
Habarini.

Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri.

Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi.

Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri

Siwezi kumpa shikamoo mdogo wangu yule,hata kama yupo juu Kwa mikwanja na umaarufu
 
Back
Top Bottom