Pre GE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
IMG_20241017_093711.jpg
Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza kwa ustadi mkubwa bila kuteteleka.

Sisi pia wazalendo wa nchi hii tunaungana na Diamond Platnumz kujivunia kuwa na mwanamama shupavu na kiongozi wa mfano ambaye dunia imezizima kwa uwezo alioonesha kwenye leadership, decision making, public speaking, influencing, supervision nk .

Ama kwa hakika hatupaswi kulipoteza ili jembe kwa sababu ya mihemko ya kisiasa.

Yule mvaa mlegezo anaejua kusoma, kuandika na kutukana matusi ya nguoni ni wakati sasa ajikite kwenye upishi kama mwenzie shilole maana kwenye muziki akiimba watoto wanamcheka.

Soma:
~
Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
~ Kuelekea 2025 - Wasanii kujiingiza kwenye siasa na kuwa machawa ipi faida yao kama nao wanashiriki kuingiza wananchi shimoni?
 
Tunatakiwa tuwe na watu smart kama Tulia kwenye uongozi, mtu anaejua nchi inatakiwa kupita njia zipi kupata maendeleo.
Zipo sekta nyingi za Dr Tulia kutumika na kuleta maendeleo ila surely am telling you sio kupitia siasa za uwakilishi yani ubunge...hii potential anayoonyesha hapa ni nzuri ila yeyensio mzuri kwenye ubunge
 
Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza kwa ustadi mkubwa bila kuteteleka.

Sisi pia wazalendo wa nchi hii tunaungana na Diamond Platnumz kujivunia kuwa na mwanamama shupavu na kiongozi wa mfano ambaye dunia imezizima kwa uwezo alioonesha kwenye leadership, decision making, public speaking, influencing, supervision nk .

Ama kwa hakika hatupaswi kulipoteza ili jembe kwa sababu ya mihemko ya kisiasa.

Yule mvaa mlegezo anaejua kusoma, kuandika na kutukana matusi ya nguoni ni wakati sasa ajikite kwenye upishi kama mwenzie shilole maana kwenye muziki akiimba watoto wanamcheka.
Tatizo watu wengi wanaishi kwenye ufukara wa kutisha.
Kinachowapa kiburi ni ile kula na kushiba, lakini wengi wao ni masikini sana.
 
Sasa wewe na akili zako timamu Diamond ni mtu wa kukushauri kuhusu siasa za hii nchi?

Huyu ni mzuri tu katika kukuinua kiuchumi kupitia uchawa na muziki ila maswala ya ushauri maana hata yeye anacheza na upepo wa pesa tu hana alijualo.
 
Back
Top Bottom